Quantcast
Channel: PolitiksiFactTrack ''ARUSHA255''
Browsing all 1899 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA MIKOPO KUWAANIKA KWA PICHA WADAIWA SUGU, UHAKIKI KUFANYIKA KILA OFISI

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema kuanzia mwanzoni mwa Januari mwakani, itaanza kuchapisha majina na picha za wadaiwa sugu kwenye vyombo vya habari waliohitimu katika vyuo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAGOMBEA WANAWAKE WATUHUMU KUOMBWA RUSHWA YA NGONO NA WANAHABARI ILI WAPATE...

Afisa mratibu wa umoja wa mataifa kitengo cha wanawake Rashida Shariff akifungua warsha ya siku mmoja iliyokuwa na lengo la kujadili ripoti ya uchaguzi mkuu kwa wagombea wanawake,vijana na makundi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tume ya Mipango yatembelea ujenzi wa kituo cha kuzalisha Umeme Kinyerezi II

Msimamizi wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha kuzalisha Umeme cha Kinyerezi II, Mhandisi Bernd Siegemund akiweka bayana mipango na mikakati ya kumalizika kwa ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA: RAIS DKT. MAGUFULI ALIVYOSHIRIKI MSIBA WA MZEE MAARUFU WA CHATO...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa pole   Bi Mugwe Mbabe ambaye ni Mke mkubwa wa Marehemu Mzee Maarufu Admirabilis Mbabe Manyama(82) mara baada ya kuwasili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Father Festus: WANAUME WASINDIKIZENI WAKE ZENU KILINIKI

Festus Makwame wa Kanisa la Katoliki Sent Treza Jimbo la Arusha akiwa anafurahiajambo wakati akiwa anaendesha ibadaya mkesha wa sikukuu ya christimas hapo jana usiku Jijini Arusha.Picha naVero Ignatus...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI ARUSHA NA MWAKA MPYA: WATAKAOCHOMA MATAIRI FAINI MILIONI NNE, MADEREVA...

Na.Vero Ignatus,Arusha.Jeshi la polisi mkoani Arusha limesema kuwa katika kusheherekea mwaka mpya ,kumekuwa na kasumba kwa baadhi ya watu kufanya matukio ya kuhatarisha usalama kwa kuchoma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YAJIANGA KUJENGA 'MACHINGA COMPLEX' JIRANI NA...

Na.Vero Ignatus ,ArushaHalmashauri ya Jiji la Arusha limeanza utekelezaji wa Agizo la RaisJohn Pombe Magufuli la kuwatafutia wafanya biashara wadogo ‘machinga’eneo salama kwa ajili ya kuendesha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI MALIASILI ATOA WIKI MBILI KWA WAFANYAKAZI NGORONGORO KUWASILISHA...

 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani (katikati) akizungumza na watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro wilayani Ngorongoro mkoani Arusha jana katika ziara yake ya kufuatilia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA MO DEWJI YATOA ZAWADI KITUO CHA TUMAINI LA MAISHA

Taasisi ya MO Dewji Foundation imeweza kuwakumbuka watoto wanaopatiwa matibabu ya magonjwa ya kansa katika kituo cha Tumaini la Maisha kilichopo ndani ya Hospitali ya Taifa Muhimbili, Jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI YA KINONDONI YASAINI MKATABA WA BIL 22 KWA MIRADI YA KUBORESHA JIJI

 Na Amina Kibwana,Globu ya jamiiHalmashauri ya manispaa ya kinondoni imezindua utekelezaji wa mradi wa uboreshaji wa jiji la dar es salaam kwa kusaini mkataba wenye thamani ya bilioni 22 na mkandarasi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC: MAAMUZI YA RUFAA ZA MAPINGAMIZI YA WAGOMBEA WA UBUNGE NA UDIWANI KATIKA...

Kwa mujibu wa kifungu cha 40 (6) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Tume ilipokea Rufaa moja ya kupinga Uteuzi wa Mgombea wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Uchaguzi Mdogo wa Bunge Jimbo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bei ya Uniti ya Umeme yapanda kwa 8.5%

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix NgamlagosiMkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi amesema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge Cecilia Paresso apata ajali ya gari akitokea Arusha kurudi Karatu usiku.

Nanja, Arusha.Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Mh Cecilia Pareso na baadhiya madiwani wa Karatu wamenusurika katika ajali mbaya ya gari usiku huu eneo la Nanja wakitokea Arusha.Katika gari hiyo, inaelezwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge wa Rombo Joseph Selasini Kusherehekea Mwaka Mpya Kwa Kupanda Miti na...

Mbunge wa Rombo Mh Joseph Selasini (CHADEMA) ataongoza mamia  ya vijana na wanajamii wengine katika uzinduzi wa kampeni ya upandaji miti jimboni humo  kesho January 1, 2017 katika eneo la Mamsera.Zaidi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA WATU KUKAIDI AGIZO LA WAZIRI MKUU, WANANCHI WACHOMA MOTO PAMPU ZA...

Vero Ignatus,Arusha Sakata la viongozi wa Chadema na wananchi wa vijijini nne wilayani Karatu Mkoani Arusha kukamatwa na polisi kwa kosa la kuchoma  mashine ya kuvutia maji ni kufuatia haa za baadhi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hali ya Biashara Nchini: Maduka 1872 Yafungwa Dar na Arusha Katika Miezi...

Gazeti la Nipashe limenukuu taarifa ya Waziri wa Fedha Dk Philip Mpango na kuripoti kuwa wamiliki wa takribani maduka 1872 katika mikoa ya Arusha na Dar es Salaam ymeshindwa kuendelea na biashara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE MUSSA WA JIMBO TANGA (CUF) AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA WAKULIMA JIMBONI...

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Mussa Mbaruku kulia akiteta jambo na Mwenyekiti wa Kikundi cha Golani Shutashuta,Saidi Bakari  wakati alipokwenda akikagua mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji eneo la Golani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri Utalii, Mhandisi Makani Atoa Ufafanuzi Wa Taarifa Za FARU JOHN,...

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani (kulia) akizungumza katika kikao cha wadau wanaohusika na mgogoro wa pori tengefu la Loliondo alichokiitisha katika ofisi ya Mkurugenzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Prof Muhongo "Apiga Stop" Ongezeko La Bei Ya Umeme Kama Lilivyotangazwa na EWURA

Barua ya Waziri mwenye dhamana ya Umeme, Profesa Sospeter Muhongo kwenda EWURA kusimamisha zoezi la utozaji bei mpya kwa huduma za umeme nchini zilizotarajiwa kuanza kutumika kesho Januari 1, 2017...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA KUANZIA MWAKA: PROF J AKIMVISHA PETE YA UCHUMBA MPENZI WAKE

Mbunge wa Mikumi(CHADEMA) Mh Joseph Haule ambaye amezoeleka zaidi kwa jina la sanaa kamaProfesa J akimvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi jana Jijini Dar es Salaam  kama hatua muhimu ya...

View Article
Browsing all 1899 articles
Browse latest View live