$ 0 0 Mbunge wa Mikumi(CHADEMA) Mh Joseph Haule ambaye amezoeleka zaidi kwa jina la sanaa kamaProfesa J akimvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi jana Jijini Dar es Salaam kama hatua muhimu ya awali kuelekea kwenye ndoa takatifu.Tunamtakia Maisha Mema Yenye Kheri na Baraka!!