Quantcast
Channel: PolitiksiFactTrack ''ARUSHA255''
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1899

Hali ya Biashara Nchini: Maduka 1872 Yafungwa Dar na Arusha Katika Miezi Mitatu Pekee

$
0
0
Gazeti la Nipashe limenukuu taarifa ya Waziri wa Fedha Dk Philip Mpango na kuripoti kuwa wamiliki wa takribani maduka 1872 katika mikoa ya Arusha na Dar es Salaam ymeshindwa kuendelea na biashara nahivyo kuyafunga maduka hayo kutokana na kuyumba kwa biashara nchini katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.

KUJUA ZAIDI TEMBELEA UKURASA HUU WA NIPASHE

Viewing all articles
Browse latest Browse all 1899

Trending Articles