Lema Apata Ahueni, Apewa Siku 10 Kuwasilisha Rufaa Yake!
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akiteta jambo na mke wake Neema Lema Tarimo katika chumba cha Mahakama Kuu Kanda ya Arusha jana. Picha na Vero Ignatus Blog.Arusha Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya...
View ArticleWananchi wa Muriet Arusha Kusogezwa Huduma za Afya, DC Daqarro Asimamia...
Wakazi zaidi ya 27,000 wa kata ya Murriet iliyopo Jiji la Arusha wataondokana na adha ya kutembea umbali mrefu wa zaidi ya km 15 kusaka huduma ya Afya na kujifungua kwa akina mama baada ya Mkuu wa...
View ArticleRIDHIWANI KIKWETE AAHIDI MSAADA KWA WASANNII KATIKA TUKIO LA UZINDUNI WA...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze RIDHIWANI KIKWETE, amesema anataka kuona Wasanii Watanzania kazi zao zinatambuliwa na kuona faida ya kazi wanazofanya. Aidha amesema yeye kama Mbunge Kijana,...
View ArticleTAARIFA YA MEYA WA JIJI LA DAR KUHUSIANANAUTARATIBU MPYA WA KUEGESHA GARI NA...
Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akifafanua jambo kwa wandishi wa habari leo kuhusiana na suala zima la tozo za maegesho ya magari na pikipikiTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARINdugu wanahabari,...
View ArticleSerikali Inakaribisha Maoni wa wadau Kuhusu Kanuni za Sheria Mpya ya Habari...
Wizara ya inayohusika na masuala ya Habari inawaalika wananchi wote kutoa maoni yao na mapendekezo kuhusu kanuni zitakazosimamia tasnia ya habari nchini kama tangazo hili linavyoeleza
View ArticleTaswira: Mbowe akiongoza kikao cha ndani kufanya tathmin ya Uhai wa CHADEMA...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh Freeman Mbowe akifungua kikao cha ndani chachama hicho kinachojumuisha viongozi kuanzia ngazi ya Msingi hadi Mkoa kujadili hali ya kisiasa kwa chama hicho Jijini Mbeya...
View ArticleMwenyekiti wa CCM Dk John Pombe Magufuli akutana Ikulu na kufanya mazungumzo...
Taarifa kutoka Ikulu Dar es Salaam leo
View ArticlePicha ya Siku: Mbuzi wakivuka barabara eneo maalumu la kuvukia bila mchunga
Picha hii iliyopigwa na Halima Kambi wa Nipashe inaonesha wanyama mbuzi wakivuka barabara katika mistari ya zebra eneo la Magomeni Hospitali Jijini Dar es Salaam siku ya Disemba 18, 2016 bila kuwa na...
View ArticleVideo: Mwandishi wa habari ITV Arusha akamatwa na polisi kwa agizo la Mkuu wa...
Mwandishi wa habari wa ITV mkoani Arusha Bw Khalifa Lihundi anashikiliwa na polisi kituo cha Usa River wilayani Arumeru mkoani Arusha kwa tuhuma za kuandika habari za zinazodaiwa kuwa ni za...
View ArticleMeya wa Jiji la Arusha Kalisti Lazaro Amtunuku Cheti cha Shukrani Diwani Wake...
Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mh Kalisti Lazaro Bukhay akimpongeza na kumpatia cheti cha shukrani Mkurugenzi wa kampuni ya Achieve in Africa Mh Alex Marti kwa kusaidia kufadhili sare za shule kwa...
View ArticleHalmashauri ya Mji wa Babati yatoa Sh Mil 150 za awamu ya pili mikopo ya...
Halmashauri ya Mji wa Babati imetoa mikopo zaidi ya sh milioni 150 kwa vijana na kina mama wajasiriamali ili waweze kujikwamua kimaendeleo.Akisimulia Blogu hii namna zoezi hilo lilivyoanikiwa, Mbunge...
View ArticleArticle 5
Mwandishi wa habari wa ITV mkoani Arusha Bw Khalifa Lihundi anashikiliwa na polisi kituo cha Usa River wilayani Arumeru mkoani Arusha kwa tuhuma za kuandika habari za zinazodaiwa kuwa ni za...
View ArticleTaarifa Kutoka BAVICHA Arusha: Mwaliko wa Kushiriki Uchangiaji Damu Hospitali...
Makataba: Katibu wa BAVICHA Wialaya ya Arusha Mjini ambaye pia ni Diwani wa Viti MaalumKata ya Levolosi Mh Glory Kaaya (kushoto) akiwa pamojana Diwani wa Levolosi (CHADEMA) Mh DiwaniNanyarokatika moja...
View ArticleTAARIFA YA ZIARA YA MH JOSEPH LEONARD HAULE MBUNGE WA JIMBO LA MIKUMI KWENYE...
ZIARA YA MH JOSEPH LEONARD HAULE MBUNGE WA JIMBO LA MIKUMI KWENYE KATA ZA KIDODI, ULAYA, NA ZOMBOJana Tarehe 21/12/2016 Mbunge wa Jimbo La Mikumi Mh. Joseph Leonard Haule aliwatembelea na kuwafariji...
View ArticleTASWIRA: SHAKA WA UVCCM AKIONGOZA JOGGING YA VIJANA MKOANI KAGERA BAADA YA...
Kaimu katibu mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka wa katikati akiendelezazoezi la jogging pamoja na Mwenyekiti wa UVCCM Wa Uvccm Mkoa wa KaragweNdg Yahaya Kateme wa kwanza kushoto.Ndugu Shaka H.Shaka...
View ArticleMillardAyo Video: Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu miili 7 iliyopatikana Mto...
Kaimu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Kamishna Robert Boaz. Picha na MillardAyo.ComJana Disemba 21, 2016 Jeshi la Polisi Makao Makuu limetoa taarifa kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi wa...
View ArticleKCB ARUSHA WATOA MSAADA WA MILIONI 48 KWA TASISI YA ERETO EAST AFRICA
Meneja wa Benki ya KCB tawi la Arusha TFA Hogla Laizer (kulia) akikabidhi Msaada wa hundi ya shilingi milioni 48 kwa mkurugenzi wa shirika la Ereto East Africa foundation Godsave Ole Megiroo.Halfa ya...
View ArticleWAZIRI WA AFYA APOKEA NYUMBA 20 ZA WATUMISHI WA AFYA ZILIZOJENGWA NA TAASISI...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (katikati), hii leo akikata utepe kuashiria upokeaji wa nyumba 20 mkoani Mwanza, zilizojengwa na Taasisi ya Benjamini Mkapa....
View ArticlePOLISI WALIOMDHALILISHA MCHUNGAJI WAKUFUZWA KAZI
Askari Polisi wanne mkoani Kilimanjaro, waliotuhumiwa kumtengenezea tukio la ushoga mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), wamefukuzwa kazi. Polisi hao, walidaiwa kumkamata...
View Article