Picha hii iliyopigwa na Halima Kambi wa Nipashe inaonesha wanyama mbuzi wakivuka barabara katika mistari ya zebra eneo la Magomeni Hospitali Jijini Dar es Salaam siku ya Disemba 18, 2016 bila kuwa na mtu wa kuwaangalia, hali iliyosababisha kero kwa watumiaji wa barabara ingawa ni kituko pia.