HOTUBA KAMILI YA RAIS KIKWETE JANA KWA WAZEE WA MKOA WA DAR KUHUSU SKENDO YA...
Mh.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na taifa kupitia Wazee wa Dar es Salaam jana katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik...
View ArticleKATIBU MKUU KIONGOZI AMSIMAMISHA KAZI KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHARTI NA...
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue, amemsimamisha kazi kwa muda Ndugu Eliakim Maswi, Katibu Mkuu ya Wizara ya Nishati na Madini, ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake, kama...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA MSANII NASEEB ABDUL ‘DIAMOND’ IKULU, AWAPONGEZA YEYE...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa msanii Naseeb Abdul “Diamond” juu ya ushindi wake wa tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba...
View ArticleTASWIRA: MWADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO ALIPOMTEMBELEA RAIS KIKWETE IKULU...
Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akimlaki Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekwenda kumjulia hali na kumpa pole Ikulu jijini Dar es salaam...
View ArticleEXCLUSIVE: TANZANIAN PRESIDENTS ACADEMIC QUALIFICATIONS
Tanzania as a country has come a very long way, right from pre – independence of the various areas that make up Tanzania to post – independence and also the merging of Zanzibar and Tanganyika into one...
View ArticleKOREA YAKOSA INTERNET KWA MASAA 9, MAREKANI YAHISIWA KUHUSIKA!
Mawasiliano ya internet nchini Korea Kaskazini yamerejea leo Jumanne baada ya kupotea kwa zaidi ya saa tisa.“Ni kama vile Korea Kaskazini ilifutwa kwenye ramani ya dunia ya Internet,” Rais wa kampuni...
View ArticleSKYLIGHT BAND YATOA RATIBA YAKE YA WIKI TUKIANZA NA MKESHA WA X-MASS USIKU WA...
24.12.14 Mkesha wa XMASS tutakua ESCAPE1, show itaanzaa saa mbili usiku, kiingilio buku 7000/= tu: tukutane ESCAPE1 tuikaribishe XMASSVile vile tunapenda kutoa taarifa na kuwaomba radhi wadau wetu...
View ArticleKUTOKA NGORONGORO: OLOLOSOKWAN WAJIWEKA TAYARI KUTIMIZA NDOTO YA KIJIJI CHA...
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues aliposimama kwenye Kijiji cha Ngeresero kwa ajili ya kuwaungisha...
View ArticleHELP THEM TO MAKE THIS CHRISTMAS SPECIAL FOR THE LESS FORTUNATE. YOU CHOOSE,...
In light of the holiday season Hellofood and Rotary Club of Bahari (Dar es Salaam) is running a Corporate Social Responsibility campaign called Light Up A Soul. This campaign allows the public to go to...
View ArticleKutoka Arumeru: Ofisa Mtendaji Kata aahirisha kesi ya Joshua Nassari
Kesi ya kuchoma moto bendera ya CCM inayomkabili Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema), Joshua Nassari (pichani) jana iliahirishwa na Ofisa Mtendaji wa Kata ya Maji ya Chai, Ndikilo Mbise kutokana na...
View ArticleMh Ester Matiko Afurahia Krismasi na Mamia ya Watoto Waishio Katika Mazingira...
Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) Mh Ester Matiko amesherehekea Siku Kuu ya Krismasi pamoja na watoto waishio katika mazingira magumu Tarime Mkoani Mara na kupata chakula pamoja kama sehemu ya Shukurani...
View ArticleMbunge wa Monduli Edward Lowassa na Familia Yake Wahudhuria Ibada ya Sikukuu...
Mh Edward Lowassa akizungumza katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar alipohudhuria ibada ya Skukuu ya Krismasi jana. Kulia ni Mchungaji wa Kanisa hilo,...
View ArticleUNIC YAELIMISHA SIKU YA CHOO KWA VIJANA WALIO NJE YA SHULE
Siku ya choo duniani ambayo huadhimishwa tarehe 19 Novemba. UNIC waliadhimisha siku hii kwa kuwakutanisha vijana walioko nje ya shule tarehe 23 Desemba 2014 kwa lengo la kuwaelimisha na kuwahamasisha...
View ArticleTASWIRA: SAFARI YA MABALOZI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KATIKA SIKU YA KWANZA
Desemba 16 mwaka huu Waziri wa Mambo ya nje ya Nchi ,Mh Benard Membe alikabidhi bendera kwa Balozi Adadi Rajabu kwa niaba ya Mabalozi ,ikiwa ni ishara ya kuanzisha safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro...
View ArticleMaswali 10 kwa Zitto Kabwe
Gazeti la Mwananchi limekuwa na utaratibu wa kukusanya maswali kumi kitoka kwa wananchi na kuyawasilisha kwa Mbunge wa Jimbo husika kwa majibu yake.Toleo Na. 5268 la Disemba 25, 2014 lilikuwa na...
View ArticleKAGERA KUJIVUNIA UWANJA WA NDEGE WA KISASA
Na Saidi Mkabakuli, KageraMkoa wa Kagera na maeneo ya jirani wataanza kujivunia uwanja wa ndege wa kisasa kufuatia kukamilika kwa Kiwanja cha Ndege cha Bukoba.Akizungumza na Wakaguzi wa Miradi ya...
View ArticleJOSHUA NASSARI AWAFUNDA WENYEVITI WAPYA WA MITAA WA CHADEMA JIMBONI KWAKE
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na wenyeviti wapya wa mtaa pamoja na wajumbe waliochaguliwa kwa tiketi ya CHADEMA katika Wilaya ya Arumeru Mashariki katika semina iliyoandaliwa...
View ArticleMANSOUR HIMID AJIUNGA RASMI CUF, ZANZIBAR
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akimpongeza Mhe. Mansour Yussuf Himid baada ya kuamua kujiunga na chama hicho na kumkabidhi rasmi kadi ya CUF katika viwanja vya Paje, Wilaya ya Kusini...
View ArticleWAFANYABIASHARA SOKO LA VINYAGO MASAI MARKET LILILOTEKETEA KWA MOTO HIVI...
Wafanyabiashara wa soko la vinyago la Mount Mure Curio Craft maarufu kama Masai Market wakishangilia baada ya kupatiwa kifuta machozi cha shilingi milioni 17 na benki ya Finca ambayo pia iliwafutia...
View ArticleKhalid, Athanas na Juma Waliotaka Kwenda Ikulu Tokea Geita Kwa Miguu Waishia...
VIJANA watatu pichani; Khalid Selemani, Athanas Michael na Juma Maganga wanaoaminika kuwa ni wafuasi wa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA, wamekamatwa na Polisi eneo la Magomeni Mapipa Jijini Dar es...
View Article