Quantcast
Channel: PolitiksiFactTrack ''ARUSHA255''
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1899

TASWIRA: MWADHAMA POLYCARP KARDINALI PENGO ALIPOMTEMBELEA RAIS KIKWETE IKULU DESEMBA 23, 2014

$
0
0
pengo

Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akimlaki Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekwenda kumjulia hali na kumpa pole Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 23, 2014

SSSSSS

Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akiongea na  Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekwenda kumjulia hali na kumpa pole Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 23, 2014


unnamed-3

Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete katika picha ya pamoja na  Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo,
aliyekwenda kumjulia na kumpa pole hali Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 23, 2014
zzzzzzzzzz

Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete akimsindikiza  Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam,Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, aliyekwenda kumjulia hali na kumpa pole  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Desemba 23, 2014


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1899

Trending Articles