Quantcast
Channel: PolitiksiFactTrack ''ARUSHA255''
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1899

Mbunge wa Monduli Edward Lowassa na Familia Yake Wahudhuria Ibada ya Sikukuu ya Krismasi Zanzibar

$
0
0

Mh Edward Lowassa akizungumza katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar alipohudhuria ibada ya Skukuu ya Krismasi jana. Kulia ni Mchungaji wa Kanisa hilo, Philip Mvungi.

  Ibada ikiendelea katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar,ambapo Mh.Lowassa na familia yake walihudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi leo.

Mh Edward Lowassa na mkewe Regina wakiwa na mjukuu wao, Angelica Freddy wakisoma Biblia katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar walipohudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi

Mh Edward Lowassa na mkewe Regina wakiwa na mjukuu wao, Angelica Freddy katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar walipohudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi leo.

Mke wa Mh Edward Lowassa, Regina (kulia) akiwasalimia waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar walipohudhuria ibada ya Sikukuu ya Krismasi leo.

CREDIT: VIJANA NA MATUKIO.COM


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1899

Trending Articles