Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akizungumza na wenyeviti wapya wa mtaa pamoja na wajumbe waliochaguliwa kwa tiketi ya CHADEMA katika Wilaya ya Arumeru Mashariki katika semina iliyoandaliwa na Mbunge huyo ya kuwahamasisha kuwatumikia wananchi ilifanyika katika ukumbi wa Usariver Academy leo. Picha na Ferdinand Shayo
↧