Taswira: Viongozi waliofika Shule ya Lucky Vincent Kutoa Pole!
Matukio katika Picha: Viongozi mbalimbali waliofika Lucky Vincent Primary School kutoa Salam zao za pole pamoja na kuwafariji wafiwa wakijumuisha Waziri wa Elimu Mh Prof Joyce Ndalichako, Mh.Mbunge wa...
View ArticleMaonesho ya 6 Madini Arusha: Wachimbaji wadogo wa madini Waiomba Serikali...
Watumishi kutoka Kituo Cha Jemolojia Tanzania (TGC), wakimsikiliza mgeni aliyembelea banda la kituo hicho ili kujua shughuli za mafunzo ya usanifu na unga'rishaji wa madini zinavyofanyika. Mikufu...
View ArticleMagari Matatu (3) ya Wagonjwa yatolewa kwa Mikoa ya Nkasi,Shinyanga na Tabora
Magari matatu ya kubebea wagonjwa ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli yakiwasili tayari kwa kukabidhiwa kwa wabunge wa Nkasi, Tabora na Shinyanga Ikulu jijini Dar es...
View ArticleKAULI YA LEMA KUHUSU KUNYIMWA FURSA YA KUTOA POLE KWENYE MSIBA WA WATOTO ARUSHA
Leo katika msiba wa kuaga Wanafunzi waliofariki ktk ajali. Mimi kama Mbunge mwenyeji niliyefiwa Jimboni kwangu pamoja na Mayor tulihudhuria maombolezo hayo, ilikuwa ni itifaki ya kawaida kabisa kuelewa...
View ArticlePolisi Arusha waeleza chanzo cha vifo katika ajali ya basi la Shule ya Lucky...
Ajali ya basi la Shule ya Lucky Vicent iliyotokea Mei 6, 2017 katika eneo Rhotia Marera, Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha na kusababisha vifo vya wanafunzi 32, walimu wawili na dereva mmoja vifo hivyo...
View ArticleMATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA ISHIRINI NA MBILI MKUTANO...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk. Tulia Ackson akiongoza kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017. Waziri Mkuu...
View ArticleRAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA AWASILI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM NA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma wakati wa Nyimbo za Mataifa mawili (Tanzania & Afrika Kusini) zikipigwa...
View ArticleUFAHAMU MMEA HATARI WA GUGU KAROTI NA MADHARA YAKE
Kutoka kushoto ni Beatrice John mmoja wa wafanyakazi waChuo kikuu cha Mount meru akifuatiwa na aliye kushoto kwake Afisa uhusiano wa Chuo hicho bi Imelda Naomi wakiwa wameshikilia mmea wa gugu karoti...
View ArticleNape Nnauye: Watanzania hawawezi kutuelewa, na Tusipokuwa Makini...
Mbunge wa Mtama, Mh Nape Nnauye amefunguka na kusema hatua mbalimbali zilizochukulia na serikali ikiwepo kubana matumizi, kufukuza wafanyakazi hewa, kuongezeka kwa mapato kama hazita tafsiriliwa kwa...
View ArticleSumaye awaongoza wenzake katika Kikao na Wabunge wa Kanda ya Pwani ya CHADEMA
Uongozi wa Kanda ya Pwani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ukiwa na kikao na waheshimiwa wabunge wa wa chama hicho Kanda ya Pwani kwenye ofisi ya Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MGENI WAKE RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyabiashara mbalimbali wa nchini pamoja na Afrika ya Kusini wakati aliposhiriki pamoja na Rais wa Afrika Kusini Jacob...
View ArticleMkuu wa mkoa wa manyara Joel Bendera Azindua Kampeni ya Upandaji Miti Mirerani
NA MSUMBA NEWSMkuu wa mkoa wa manyara mh Joel Bendera amewataka wananchi wa mji mdogo wa mererani kutuza mazingira kwa kupanda mti ili kuondokana na tatizo la mvua ambalo litasababisha njaa kitaifaMkuu...
View ArticleTADB YAOMBWA KUSAIDIA SEKTA YA MIFUGO MKOANI ARUSHA
Wadau wa sekta ya mifugo mkoani Arusha wameiomba Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kuwasaidia katika kuendeleza sekta hiyo kwa kuwapatia mikopo na mahitaji mengine kwa ajili ya kuongeza tija...
View ArticleMAMLAKA YA USIMAMIZI WA BIMA (TIRA)IMEZINDUA MFUMO WA KUHAKIKI BIMA KWA NJIA...
Kaishna wa Bima nchiniDkt.Boghayo Saqware akiwa anazungumza na wauza bima,madalali wa bima,mawakala wabima,wauza bima,jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani, viongozi wa vyama vya wamiliki wa...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI ATEMBELEA SHIRIKA LA UTANGAZAJI TANZANIA - TBC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania - TBC - Dkt Ayoub Rioba alipowasili kukagua shughuli za hapo pamoja...
View ArticleTIBA MTANDAO KUANZIA OLOLOSOKWAN OKTOBA MWAKA HUU
WATU waliopembezoni ambao wamekuwa na shida kubwa ya kupata madaktari bingwa, wataanza kupata nafuu baada ya kuanza kwa mradi wa tiba mtandao unaoendeshwa kwa pamoja kati ya Chuo Kikuu cha Afya na...
View ArticleTIBA MTANDAO KUANZIA OLOLOSOKWAN OKTOBA MWAKA HUU
WATU waliopembezoni ambao wamekuwa na shida kubwa ya kupata madaktari bingwa, wataanza kupata nafuu baada ya kuanza kwa mradi wa tiba mtandao unaoendeshwa kwa pamoja kati ya Chuo Kikuu cha Afya na...
View ArticleSUMATRA YAKUTANA NA WADAU WA USAFIRISHAJI JIJINI ARUSHA KUKUSANYA MAONIYA...
Mkurugenzi na mdhibiti Uchumi kutoka (Sumatra )Nahson Sigalla akizungumza na wadau wa usafirishaji katika mkutano uliofanyika jijini Arusha.Mkurugenzi wa uchumi kutoka sumatraMwanasheria wa Sumatra...
View ArticleMeya wa Arusha Afunguka Maneno Mazito baada tu ya kuachiwa na Polisi leo
Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro amesema kuwa ataelekeza fedha zote za rambirambi kwa wafiwa badala ya kuzipeleka kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.Aidha amehoji ni kwanini fedha za...
View ArticleMkutano wa 18 wa Kawaida wa Wakuu wa nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki...
Mkutano wa 18 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki umefikia tamati leo Ikulu Jijini Dar es Salaa. Mkatano huu ulikuwa na ujumbe na uwakilishi kutoka nchi zote sita zinazounda...
View Article