Quantcast
Channel: PolitiksiFactTrack ''ARUSHA255''
Browsing all 1899 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAONESHO YA WIKI YA USALAMA NA AFYA KAZINI 2017 MKOANI KILIMANJARO

Maonesho ya wiki ya usalama na afya kazini yameanza leo siku ya Jumatano tarehe 26/04/2017 katika viwanja vya Ushirika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro ambapo taasisi mbalimbali za serikali na binafsi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHINDANO YA MEI MOSI KITAIFA YAZINDULIWA MJINI MOSHI

Timu ya Watumishi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) wakiingia uwanjani kwa maandamano wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Mei Mosi kitaifa yanayofanyika mjini Moshi.Timu ya Mamlaka ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC GAMBO AZINDUA BARABARA ARUSHA,AKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gamboa akiwa ameshika mkasi ishara ya kukata utepe katika uzunduzi wa barabara ya St.James na Mahakamani jana Jijini Arusha. Kulia kwake ni mkuu wa wilaya ya Arusha mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 2,219 KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 53 YA...

Katika kuadhimisha Miaka 53 ya Muungano wa Tanzania tarehe 26 Aprili, 2017 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutumia madaraka aliyopewa chini ya Ibara ya 45(1)(d) ya Katiba ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AHUDHURIA IBADA YA JUMAPILI MAKANISA MAWILI TOFAUTI MJINI...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitakiana amani na mmoja wa mapadre katika Kanisa la Kuu la Katoliki Parokia ya Kristo Mfalme Moshi Mjini alikohudhuria ibada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kijana aliyetoka Dar hadi Arusha kwa baiskeli amezindua rasmi kitabu chake...

Mheshimiwa Nabii Mkuu Dr GeorDavie Royal Mkuu ,   jana amezindua rasmi kitabu cha " KUKIWA NA FOLENI" kilichoandikwa na Wiseman Luvanda.Pia Nabii Dr.GeorDavie alimpongeza kwa kitendo chake  alichoamua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSD YANG'ARA SHEREHE ZA MEI MOSI KITAIFA MKOANI KILIMANJARO

Rais John Magufuli akimkabidhi zawadi Mfanyakazi Bora wa Bohari ya Dawa (MSD), 2016/2017, Juma Kiongozi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi yaliyofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro leo. Kulia ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAONYESHO YA SITA YA MADINI YA VITO YAANZA RASMI LEO JIJIJI ARUSHA

 Mkuu wa mkoa wa Manyara Dk Joel Bendera akifatilia jambo wakati alipokuwa anazindua rasmi maonyesho ya sita ya vito na madini yanayofanyika katika hotel ya Mounti Meru ilipo jijini  Arusha(habari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BONANZA LA AFYA KWANZA LAFANA JIJINI ARUSHA

 wakwanza  kushoto ni muaandaji wa bonanza la Afya kwanza akiwa na timu ya Triple a klabu Fc  kabla ya mechi kuanza(habari picha na Woinde Shizza wa libeneke la kaskazini )timu ya tigo Fc ikiwa pamoja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA MWANZA AHITIMISHA MAADHIMISHO SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA...

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, amehitimisha kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, yaliyofanyika kitaifa Jijini Mwanza.Mongella amewasisitizia wanahabari kujikita...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIPINDI CHA CLOUDS 360 KILIPORUSHWA MUBASHARA KUTOKA HIFADHI YA TAIFA YA...

Gari Maalumu la kurusha matangazo ya moja kwa moja la kituo cha Luninga cha Clouds likiwa katika eneo la Serengeti kwa ajili ya kurusha matangao ya moja kwa moja ya kipindi cha Clouds 360.Watangazaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA NMB YAISAIDIA TIMU YA SINGIDA UNITED VIFAA VYA MICHEZO VYA...

Ofisa Mkuu wa Wateja Wakubwa na Serikali wa Benki ya NMB, Richard Makungwa (kulia), akimkabidhi Katibu wa Timu ya Singida United, Abdurahman Sima,  mipira na vifaa vingine vya michezo vyenye thamani ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari Duniani Mei 3,2017 - Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipitia ratiba ya hafla ya Kongomano la Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wqa Vyombo Vya Habari Duniani yaliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Habari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAS TANGA ATAKA WAANDISHI WA HABARI KUPEWA USHIRIKIANO

RAS TANGA ATAKA WAANDISHI WA HABARI KUPEWA USHIRIKIANOKatibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi akifungua maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari Duniani kimkoa yaliyofanyika kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHINDANO YA KUMBUKUMBU YA HABIBU MNDEME MAARUFU KAMA HABIBU CUP YAMALIZIKA...

Wageni wa meza kuu wakifurahia jambo wakati wa kuanza kwa fainali ya mashindano ya Habibu cup katika uwanja wa Cleopa Msuya wilayani Mwanga.Kikosi cha timu ya Kifaru kikipasha misuli joto.Kikosi cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kesi ya Kufanya Vurugu Uchaguzi wa Meya Dar Dhidi ya Wabunge na Madiwani wa...

Mahakama yawaachia huru wabunge watatu wa Ukawa Na Karama Kenyunko, Globu ya jamii.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru wabunge watatu wa Ukawa na Madiwani  baada ya kuonekana hawana kesi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Walioonewa Sakata la Vyeti FEKI Wapewa Nafasi ya Kukata Rufaa

Serikali, imesema watumishi wa umma walioorodheshwa kwenye orodha ya watumishi wa umma wenye vyeti feki, wakati hawakutakiwa kuwekwa, wakate rufaa.Kauli hiyo, ilitolewa jana  na Katibu Mkuu, Ofisi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwenyekiti wa Chadema Arusha Amani Golugwa akagua Uhai wa chama Longido

Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini na Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Arusha Mhe.Amani Golugwa amefanya kikao cha ndani katika Jimbo la Longido Mkoani Arusha ambapo kikao hicho kiliudhuriwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEMA:MAKONDA ANAJUA ALIPO SAA NANE

Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbles Lema amesema kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salam Makonda anajua aliko Ben saanane hivyo awajibike kumleta.Akizungumza na waandishi wa habari  Jana jijini Arusha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taswira: Ziara ya Mbunge wa Hai Katika Hospitali ya Wilaya ya Hai

Mbunge wa Jimbo la Hai, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi ya UpinzaniBungeni Mh Freeman Mbowe ametembelea Hospitali ya Wilaya ya Hai kuwaona wagonjwa waliolazwa...

View Article
Browsing all 1899 articles
Browse latest View live