Quantcast
Channel: PolitiksiFactTrack ''ARUSHA255''
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1899

Sumaye awaongoza wenzake katika Kikao na Wabunge wa Kanda ya Pwani ya CHADEMA

$
0
0

Uongozi wa Kanda ya Pwani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ukiwa na kikao na waheshimiwa wabunge wa wa chama hicho Kanda ya Pwani kwenye ofisi ya Kiongozi wa Kambi ya  Upinzani Bungeni mjini Dodoma leo.

Kanda hiyo ya uongozi kichama inaongozwa na Mwenyekiti wake ni Waziri Mkuu Mstaafu Mh Frederick Tluway Sumaye.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1899

Trending Articles