UNITED BANK FOR AFRICA TANZANIA RECOGNIZES BEST EMPLOYEE OF THE SECOND QUARTER
Relationship Manager Nicholaus Shimba (right) receiving his certificate from the COO Mr. Chris Byaruhanga (left) in recognition of his significant performance in the second quarter.Relationship Manager...
View ArticleSIKU YA KIMATAIFA YA VIJANA DUNIANI YAADHIMISHWA KWENYE VIWANJA VYA MNAZI...
Maandamano yakiongozwa na bendi ya jeshi la polisi Baadhi ya vijana kutoka shule mbalimbali wakiandamana kuingia katika viwanja vya mnazi mmoja wakati wa maadhimisho ya siku ya kimataifa ya vijana...
View ArticleKONGAMANO LA VIJANA MKOANI MBEYA WAKATI WA KUAZIMISHA SIKU YA VIJANA DUNIANI
Mgeni Rasmi ambaye ni Afisa Vijana Halmashauri jiji la Mbeya Onah Temu akitoa hotuba katika siku ya Vijana Duniani ambayo kwa Mkoa wa Mbeya ilifanyikia Ukumbi wa Chuo kikuu Cha Mzumbe Kampasi ya...
View ArticleMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja na...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja ametangaza Kuhama CCM na Kujiunga Rasmi na CHADEMA Leo Aliyekuwa Mwenyekiti -CCM mkoa wa Dar es Salaam John...
View ArticleMsafara wa Lowassa kwenda msibani kwa Mzee Kisumo wazuiwa na Polisi Mwanga!
Lowassa na msafara wake wa makumi ya wafuasi wa ushirikiano wa vyama vinne maarufu kama UKAWA wamejikuta wakishindwa kuendelea na safari ya kumsindikiza Mgombea wa Urais kupitia CHADEMA, chama mshirika...
View ArticleNHIF YATOA “DARASA” KWA BLOGGERS WA TANZANIA KUHUSU UCHANGIAJI WA BIMA YA...
MKURUGENZI wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania, NHIF, Eugine Mikongoti MKURUGENZI wa Huduma na Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ya Jamii Tanzania,...
View ArticleTASWIRA ZA AWALI: MATUKIO YA MAANDALIZI ENEO LA MKUTANO WA LOWASSA KIMANDOLU...
Jukwaa kuu lilivyopambwa. Hili ni gari maalumu Wafanya biashara wa vifaa vya uenezi nao wameshajipanda Bodaboda nao wanawasiliDiwani wa Kata ya Kimandolu Mh Ngowi ambaye ndiye mwenyeji wa eneo la...
View ArticleTASWIRA SABA ZA KINACHOENDELEA UWANJA WA TINDIGANI JIJINI ARUSHA LOWASSA...
Aliyekuwa Mwenyekiti wa wenyeviti waa mikoa wa CCM, Mghana Msindaa akihutubia ambapo alitumia nafasi aliyopewa kumjibu Katibu Mwenei wa CCM na kumuambia kuwa aache kuhangaika nae na badala yake aeleze...
View ArticleTASWIRA: WIZARA YA UJENZI ILIVYOMUAGA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE
Waziri wa Ujenzi Dk.John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mbogo Mfutakamba wakati akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kwenye hafla ya kumuaga Rais wa Jamhuri...
View ArticleTASWIRAk MAPOKEZI YA LOWASlSA NA UKAWA JIJINI MWANZA VIWANJA VYA FURAHISHA
Waziri Mkuu Mstaafu Lowassa, Akizungumza na wananchi pamoja na wafuasi wa chama hicho Jijini Mwanza katika Viwanja vya Furahisha Kirumba. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa UJIJIRAHAA BLOG....
View ArticleTASWIRA: TAMASHA LA 'DEMOCRACY IN DAR' LILIVYOFANA, WAKAZI WAHAMASIKA...
Wananchi waliojitokeza katika tamasha la 'Democracy in Dar' lililofanyika jana Agosti 16, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala likiwa na lengo la kuwahamasisha mashabiki wa muziki wa...
View ArticleHUU HAPA MGAWANYO WA MAJIMBO YA UKAWA KWA UCHAGUZI WA OKTOBA 25, 2015
UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI (UKAWA)MGAWANYO WA MAJIMBO YA UBUNGE KWA VYAMA VINAVYOUNDA UKAWA KATIKA UCHAGUZI MKUU 2015Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), uliasisiwa wakati wa Bunge Maalum la Katiba...
View ArticleORODHA YA MAJINA YA WANACHAMA WA CHADEMA WALIOTEULIWA KUGOMBEA UBUNGE MWAKA 2015
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)ORODHA YA MAJINA YA WANACHAMA WA CHADEMA WALIOTEULIWA KUGOMBEA UBUNGEPosted by Chadema Blogtz at 1:50 AMNo comments:
View ArticleJAMES MBATIA AKABIDHI ZAWADI KWA BINGWA WA MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO...
Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akiwasili katika uwanja wa Himo Polisi kwa ajili ya kushuhudia fainali ya Mashindano ya Kombe la Jimbo ,maarufu kama Mbatia Cup 2015.Mwenyekiti wa...
View ArticleDkt John Pombe Magufuli alipotambulishwa kwa wazee wa Dar es salaam ukumbi wa...
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahma Kinana alipokuwa anawasili kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli...
View ArticleIRELAND YAWAKABIDHI SCHOLARSHIP WATANZANIA 14 KUSOMEA SHAHADA YA UZAMILI
Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Bi. Fionnuala Gilsenan, akizungumzia kuhusu ufadhili kwa Watanzania wanaokwenda vyuo mbalimbali vya ndani na nje ya nchi. Sherehe hizo zimefanyika Alhamisi, Agosti...
View ArticleBulaya 'aibomoa' Chadema Bunda.
Kutangazwa kwa Esther Bulaya kuwania nafasi ya ubunge katika jimbo la Bunda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kumesababisha uongozi wa jimbo wa chama hicho ‘kubomoka’ na...
View ArticleJK kusaini mikataba mitatu ya kiitifaki - Nipashe
Rais Jakaya Kikwete, amepanga kuhitimisha miaka 10 ya utawala wake, kwa kusaini mikataba mitatu ya kiitifaki ikiwamo malengo 17 ya Ajenda ya Maendeleo Endelevu Duniani (SDG’s), uhitimishaji wa...
View ArticleSerikali Yakabidhiwa Hati ya Umiliki 26% Kiwanda cha General Tyre
Hatimaye serikali imekabidhiwa rasmi hati ya hisa na nyaraka muhimu za ununuzi wa asilimia 26 zilizokuwa zikimilikiwa na General Tyre International Company (GTIC). Hatua hiyo inaifanya serikali...
View Article