UCHAGUZI MKUU 2015 ‘ Pazia lafunguliwa, CCM na UKAWA kutifuana Majimboni,...
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, Mgombea Mweza wake, Dkt. Juma Haji Duni pamoja na viongozi wengine waliowasindikiza, wakitoka...
View ArticleJipatie Tsh 2,000 hadi Tsh 40,000 kwa Video kupitia Kisakuzi.com
Kisakuzi.com ni mtandao unaoonesha video za matukio mbalimbali yanayotokea nchini. Mtandao huu, unanunua video na kumuwezesha mtazamaji kujiongezea kipato chake. Kutokana na ubora au tukio la video...
View ArticleDiamond Motors rolls out the new Fuso FZ in ‘Ndiyo Fuso niFaida’ campaign
Transport sector is an important component of the economy and a common tool used for development because of its intensive use of infrastructures. This is even more so in...
View ArticleUN YAPANDA MITI ZAIDI 2000 KUNUSURU MLIMA KILIMANJARO
Sikiliza kionjo cha hotuba ya Kiswahili ya Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez hapa chini.Mgeni rasmi Mwakilishi wa...
View ArticleVIDEO YA DMV ALL STARS - Najivunia
DMV ALL STARS - Najivunia ( mix for stage ) from hefemistudios on Vimeo.
View ArticleRais Kikwete aungana na viongozi wa Afrika kutofurahia Mahakama ya ICC...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa 16 wa mwaka wa Chama Cha Wanasheria wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika SADC uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa...
View ArticleMAANDALIZI YA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM YAKAMILIKA JANGWANI
Chama Cha Mapinduzi kinazindua rasmi kampeni zake leo kwenye viwanja vya Jangwani ambapo Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan atakabidhiwa...
View ArticleTASWIRA: MKUTANO WA CCM DAR ES SALAAM UZINDUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU 2015
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete...
View ArticleUKAWA ZANZIBAR : MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD ACHUKUA RASMI FOMU YA KUGOMBEA...
Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akionyesha mkoba wenye Fomu za kuwania nafasi hiyo, leo Agosti 23, 2015, kwenye Ukumbi wa Salama, Bwawani,...
View ArticleWananchi Wamzuia Mgombea Mwenza wa CCM Barabarani Mwanga
Bi. Samia Othuman Suluhu akipokewa na baadhi ya viongozi na makada wakiwa kwenye mkutano huo. Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye mkutano huoBAADHI ya wananchi na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
View ArticleUFAFANUZI KWA KUHUSU KASORO ZA BVR NA UWEKAJI WAZI WA DAFTARI LA AWALI LA...
Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura kwa kutumia mfumo wa Biometric Voters Registration (BVR) ulikamilika tarehe 04/08/2015 katika Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani.Baada ya kukamilika...
View ArticlePolisi wavamia msafara wa Lowassa
JESHI la Polisi Dar es Salaam leo limevamia na kuuzuia msafara wa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa kuingia sokoni Kariakoo.Polisi hao walikuwa kwenye magari...
View ArticlePinda akimtambulisha Magufuli Sumbawanga
Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM,Mhe. Mizengo Pinda akimtambulisha mgombea Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika ndani ya uwanja wa...
View ArticleTASWIRA: ZIARA YA MAGUFULI KATAVI KUOMBA KURA, PINDA AMNADI KWA WANA KATAVI
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, John Magufuli akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi.Copy the BEST Traders and Make Money (One Click) :...
View ArticleMGOMBEA MWENZA WA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) SAMIA SULUHU HASSAN...
Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ,Samia Suluhu Hassan alipowasili uwanja wa Majengo mjini Moshi kwa ajili ya mkutano wake wa kampeni wa hadhara.Wanachama wa Chama cha...
View ArticleMGODI WA BUZWAGI WAZINDUA LIGI YA MAHUSIANO-KAHAMA
Baadhi ya Maafisa kutoka Mgodi wa Buzwagi wakifatilia mashindano hayo wakati wa ufunguzi, kutoka kushoto ni Bwana, Jamal Rwambol, (Security Operations Section Leader),George Mkanza-(Sustainability...
View ArticleKUBENEA AZUNGUMZIA ALIVYOKAMATA SHAHADA BANDIA 100 ZA KUPIGIA KURA
MGOMBEA Ubunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Ubungo, Saed Kubenea, amedai kuwa zaidi ya kadi milioni mbili za kupigia kura zinatengenezwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),...
View ArticleHUKUMU YA MMLIKI WA ST MATHEW YAAHIRISHWA HADI ALHAMIS.
Na Mwandishi wetuMAHAKAMA ya Mwanzo Kizuiani Mbagala Jijini Dar es Salaam, imeshindwa kutoa hukumu kwenye kesi ya madai ya talaka na mgawanyo wa mali iliyofunguliwa na mkazi wa Singida, Magreth Mwangu...
View Article