RAIS JAKAYA KIKWETE ATIA SAINI KURIDHIA MISWADA YA SHERIA MITANO HADHARANI...
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini hati ya Muswada wa Sheria ya Mafuta na Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam akishuhudiwa na Waziri wa Nishati na...
View ArticleTASWIRA: MKUTANO MKUU WA CHADEMA KUMPITISHA LOWASSA KUGOMBEA URAIS
WANACHAMA wapya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa na Juma Duni Haji wamepitishwa katika Mkutano Mkuu wa chama hicho kugombea ngazi ya urais na umakamu wa rais kwa asilimia...
View ArticleMwenyekiti Halmshauri Ngorongoro, Katibu wa CCM na Madiwani Watimkia CHADEMA!
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ngorongoro Mhe. Elias Ngorisa, Katibu wa fedha na uchumi wa CCM Wilaya ya Ngorongoro na Madiwani kadhaa wajiunga CHADEMA mchana huu na kupokelewa na Mbunge wa Arumeru...
View ArticleDK. MAGUFULI ACHUKUA FOMU TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KWA KISHINDO, AIWASILISHA...
Mgombea mteule wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli na Mgombea mwenza wake, Samia Suluhu Hassan wakiondoka kwa gari la wazi kutoka Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es...
View ArticleJK ALIPOAGWA RASMI NA WASANII WA FANI MBALIMBALI MLIMANI CITY JIJINI DAR ES...
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni  Mhe Paul Makonda alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla...
View ArticleMAGUFULI AWATAKA WANA CCM KUSHIKAMANA NA KUWA WAMOJA HASA KIPINDI HIKI CHA...
Dkt John Pombe Magufuli kwa pamoja akicheza wimbo wa Adinselema uliokuwa ukiimbwa na wanachama hao mara baada ya kumpokea na kuamsha shamra shamra na shangwe za hapa na pale.Pichani kulia ni Mke wa...
View ArticleMATUKIO KATIKA ULIMWENGU WA KISIASA WA JUMA DUNI HAJI
 Mwanasiasa machachari wa upinzani kutoka Zanzibar, Juma Duni Haji aliteuliwa kuwa mgombea mwenza wa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Edward Lowassa kupitia Chama cha Demokrasia na...
View ArticleMgombea Urais na Mgombea Mwenza Kupitia CHADEMA na UKAWA ndugu Edward Lowassa...
 Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA unapenda kuwatangazia watanzania wote kuwa Tarehe 10/8/2015 Mgombe urais kupitia CHADEMA na UKAWA Edward Lowassa na mgombea mwenza Juma Haji Duni watachukua fomu ya...
View ArticleTANGAZO: RATIBA YA KUHAKIKI TAARIFA KWA WALIOJIANDIKISHA BVR
 ANGALIA ORODHA YA VYAMA VITAKAVYOSHIRIKI UCHAGUZI MKUU WA MWAKA HUU
View ArticleUJUE WASIFU WA MHE. EDWARD LOWASSA, MGOMBEA URAIS WA USHIRIKIANO WA UKAWA
 WASIFU WA MHE. EDWARD LOWASSA: Edward Ngoyai Lowassa alizaliwa tarehe 26 August 1953, katika kijiji cha Ngarash wilayani Monduli mkoa wa Arusha, akiwa ni mtoto wa 4 kati ya watoto 23 wa mzee Ngoyai...
View ArticleANGALIA PICHA-RAIS KIKWETE AKIZINDUA KIVUKO CHA MV MAFANIKO NA KUWEKA JIWE LA...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa,Ndugu Nehemia Mchechu akizungumza jambo na Rais Dkt Jakaya Kikwete mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa nyumba 30za makazi...
View ArticleTASWIRA: LOWASSA ALIVYOHUDHURIA MKUTANO WA BARAZA KUU LA CHAMA CHA WANANCHI...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiwapungua Wanachama na Wafuasi wa Vyama UKAWA waliofurika kwenye...
View ArticleKAMPUNI YA STARTIMES YA ZINDUA BUNDESLIGA
 Mkurugenzi wa Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Leonard Thadeo akipiga mpira kuelekea golini kwa mlinda mlango, Maulid Kitenge ambaye ni mtangazaji wa kituo cha redio...
View ArticleARSENAL YAANZA VIBAYA EPL NI BAADA YA KUCHARAZWA 2 KWA MTUNGI NA WESTHAM UNITED
Klabu ya Arsenal imeanza vibaya msimu mpya wa Ligi Kuu ya England baada ya kuchapwa mabao 2-0 na West Ham United Uwanja wa Emirates jioni ya leo. Cheikhou Kouyate alianza kufunga akitumia makosa ya...
View ArticleTAARIFA ZILIZOENEA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII KUHUSU MKUTANO WA DKT. BILAL SI...
 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIOfisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inasikitika kuwepo kwa taarifa za uzushi ambazo zimesambaaa kwenye mitandao ya kijamii zinazodai kuwa...
View ArticleALHAJ MWINYI: FUNDISHENI SAYANSI KWA KISWAHILI
Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi akisisitiza jambo wakati akifungua Maonyesho ya 5 ya Sayansi kwa wanafunzi wa shule za sekondari nchini katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam....
View ArticleWasanii Kufanya Tamasha Kubwa la Demokrasia Dar Agosti 16, 2015
Baadhi ya wasanii wa muziki, zaidi hip hop na sanaa nyinginezo wameungana na kuandaa tamasha kubwa la wazi litakalofanyika Mbagala Dar es Salaam tarehe 16 mwezi Agosti 2015.Tamasha hilo lililopewa jina...
View ArticleMODEWJI BLOG YARUDI HEWANI BAADA YA KWIKWI YA MASAA 45
Baada ya kwikwi ya saa takribani 48 wataalamu wa Modewji blog wanakurejeshea hewani Blog yako pendwa.Watundu wanaovuruga mambo mtandaoni (hackers) walijaribu kuimiliki blog hii kwa kufanya majaribio...
View Article