Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ngorongoro Mhe. Elias Ngorisa, Katibu wa fedha na uchumi wa CCM Wilaya ya Ngorongoro na Madiwani kadhaa wajiunga CHADEMA mchana huu na kupokelewa na Mbunge wa Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari katika Ofisi za Chadema Mkoani Arusha.