Awamu ya Pili Mikopo: Jiji la Arusha latoa Sh mil 624 Mikopo kwa Vijana na...
Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Kalisti Lazaro akizungumza wakati wa mafunzo na makabidhiano ya hundi za mfano kwa vikundi vya kina mama na vijana Jijini Arusha leo ambaye amesema tangu aanze kuongoza...
View ArticleRIDHIWANI AWATEMBELEA WAFANYA BIASHARA NDOGONDOGO JIMBONI KWAKE NA KUWATAKA...
Mbunge wa jimbo la Chalinze, Halmashauri ya Chalinze Mkoa wa Pwani Mwanasheria Ridhiwani Kikwete akizungumza na baadhi ya wakaazi wa kijiji cha Ruvu Darajani alipokwenda kwa ajili kusikiliza mkutano...
View ArticleRAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AWASALIMIA WAKAZI WA BUKOBA MJINI, MULEBA NA...
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Bukoba mjini mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili mkoani Kagera.Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Muleba mkoani...
View ArticleKAIMU KATIBU MKUU UVCCM SHAKA AZUNGUMZA NA WATUMISHI UVCCM MAKAO MAKUU
''Tuongeze bidii ya kazi kila mmoja katika nafasi yake nilazima afahamu na kutambua ya kwamba kila mfanyakazi wa jumuiya katika eneo lake, mchango wake na juhudi za zake zinahitajika sana hasa katika...
View ArticlePSPF YAWAPIGA MSASA WATUMISHI OFISI YA RAS DAR ES SALAAM
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, (kulia), akipeana mikono na Katibu Tawala Msaidizi (anayeshughulikia masuala ya serikali za mitaa), jijini Dar es Salaam, Bi. Merry...
View ArticleMkuu wa Mkoa wa Arusha afungua kikao cha Wadau wa Elimu
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo akihutubia katika ufunguzi wa kikaocha wadau wa Elimu Mkoa wa ArushaViongozi wa Halmashauri ya Ngorongoro wakifuatilia kikaocha Wadau wa Elimu ArushaWadau wa...
View ArticleTASWIRA: UZINDUZI WA KAMPENI ZA UDIWANI UCHAGUZI MDOGO KATA YA LEMBENI JIMBO...
Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mwanga, Kilimanjaro Profesa Jumanne Maghembe (kushoto) akiwa katika heka heka Chama cha Mapinduzi katika uzinduzi wa Kampeni za...
View ArticleWAZIRI MKUU AAGIZA UMEME WA UHAKIKA KISARAWE II
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuhakikisha eneo la Kisarawe II linakuwa na umeme wa uhakika ili kuwezesha viwanda na wananchi wa eneo hilo...
View ArticleMBOWE ASHIRIKI KUAGA MWILI WA RUBANI WA MARAIS WA TANZANIA
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa marehemu Kenan Mhaiki Rubani Mstaafu wa ndege za marais wa Tanzania wakati wa...
View ArticleKINANA AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA KATIBU WA CCM WILAYA YA MONDULI, MKOANI...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana leo ameongoza mazishi ya aliyekuwa Katibu wa CCM wilaya ya Monduli mkoani Arusha, Jacob Nkomola, yaliyofanyika Mtoni Kijichi, Temeke Dar es Salaam.Katika mazishi...
View ArticleUVCCM Longido Watoa Msaada Kwa Yatima
Katibu wa UVCCM Wilaya ya Longido Isaya Karakara, Katibu Hamasa UVCCM Mkoa wa Arusha Neema Emmanuel na Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Mkoa wa Arusha Robert Kaseko wakikabidhi msaada wa vyakula na bidhaa...
View ArticleMAMBO YALIVYONOGA KATIKA SENDOFF YA MUNIRA BAWAZIRI,MKE MTARAJIWA WA KATIBU...
MAMBO YALIVYONOGA KATIKA SENDOFF YA MUNIRA BAWAZIRI,MKE MTARAJIWA WA KATIBU WA APC JIJINI ARUSHA BWANA AMIRI MONGIWakwanza kushoto ni ndugu Amin Mongi,akifuatia na pili kushoto ni Katibu wa Arusha...
View ArticleMAFUNZO KWA WASIMAMIZIUCHAGUZI MDOGO YANAENDELEA DODOMA
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhan akitoa ufafanuzi kuhusu uwekaji wa kituturi cha kupigia kura wakati wa mafunzo ya Wasimamizi wa Uchaguzi, Wasimamizi Wasaidizi...
View ArticleLEMA ARUDISHWA TENA MAHABUSU BAADA YA JAMHURI KUIPELEKA KESI YAKE MAHAKAMA YA...
Mbunge wa Arusha Mjini akipungia kwa kuwapungia mkono wananchi waliojiokeza katika viwanja vya Mahakamu Kuu Arusha jana kusikiliza shauri lake akielekea kwenye gari kurudishwa gerezani Kisongo jana....
View ArticleThree top Tanesco officials demoted
Reports of the demotions began circulating at around midday yesterday, and were later confirmed by sources within Tanesco.Those demoted are Mr Decklan Mhaiki, who was Deputy Managing Director –...
View ArticleMsimamizi Mkuu wa Uchaguzi Gambia Atorokea Kusikojulikana
Mkuu wa tume huru ya uchaguzi nchini Gambia amekwenda mafichoni na jamaa yake akihofia maisha yake, kulingana na shirika la utangazaji la Uingereza, BBC. Kwa mujibu wa ripoti ambazo hazikuthibitishwa,...
View ArticleUZINDUZI WA VIFAA VIPYA VYA KUFANYIA KAZI BANDARINI ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja leo...
View ArticleNAIBU WAZIRI JAFFO AAGIZA KUUNDWA TUME YA KUCHUNGUZA MAMILIONI YA FEDHA...
.Naibu Waziri Ofisi ya Rais-Tamisemi, Seleman Jaffo akizungumza na watumishi wa afya katika Hospitali ya Mkuranga leo alipofanya ziara katika Wilaya hiyo .Naibu Waziri Ofisi ya Rais-Tamisemi, Seleman...
View ArticleKINANA AWASILI ZANZIBAR KUZINDUA KAMPENI ZA CCM LEO
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Rodrick Mpogolo akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mjini Magharibi, Aziza Mapuri baada ya msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kuwasili Bandari ya Zanzibar...
View ArticleTAARIFA YA CHADEMA ARUSHA: DEMOKRASIA NA UTAWALA WA SHERIA NCHINI MIAKA SITA...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA – MKOA WA ARUSHA TAARIFA KWA UMMA5 JANUARI 2017DEMOKRASIA NA UTAWALA WA SHERIA...
View Article