Wakwanza kushoto ni ndugu Amin Mongi,akifuatia na pili kushoto ni Katibu wa Arusha Press Club(APC) ndugu Amir Mongi (bwana harusi mtarajiwa)akiwa na mkewe mtarajiwa ,Wa kwanza kulia bi Millen Amin,siku ya sendof Jijini Arusha.Picha na Vero Ignatus Blog
![]() | Bi Munira Bawazir akiwa katika pozi siku ya sendof yake iliyofanyika hivi karibuni Jijini Arusha. |
![]() | Bi Munirah Bawazir akiwa anawakabidhi keki wakwe zake ishara ya Upendo wake kwao siku ya Sendof yake iliyofanyika Jjijini Arusha hivi karibuni aliyevaa shatijeupe ni kakayake bwana harusi mtarajiwa Twahir Mongi,akifuatiwa na dada yake bwana harusi Anifa Mongi.Picha na Vero Ignatus Blog |
![]() | Mke mtarajiwa wa Katibu wa Arusha press Club(APC) Monirah Bawazir akimvisha mumewe mtarajiwa saa kama zawadi siku ya sendof yake iliyofanyika Jjini Arusha .Picha na Vero Ignatus Blog Katibu wa Arusha Press Club Amir Mongi akiwa anakagua saa aliyovalishwa na mkewe mtarajiwa siku ya sendof yake Jijijni ARUSHA .Picha na Vero Ignatus Blog |
Bi Munirah Bawazir akimlisha keki mtoto wao Raqeeb Amir siku ya sendof yake iliyofanyika Jijini Arusha hivi karibuni.Picha na Vero IgnatusBlog. ************************** Ndoa ya Katibu wa Arusha Press Club (APC) pamoja na bi Munira Bawazir inatazamiwa kufungwa msikiti wa Marangu jumamosi tar 7/1/2017.
Baadae tafrija itafanyika ukumbi wa Mamba Complex Kotela Marangu Mkoani Kilimanjaro nyumbani kwa bwana harusi mtarajiwa Amir Mongi. |