[VIDEO] VOA AFRICA 54 YAFANYA MAHOJIANO NA MAMA SHUJAA WA CHAKULA , AMBAYE...
 Kushoto ni Mtangazaji Voice of America wa Africa 54 Linord Moudou akiwa na Mama Shujaa wa Chakula 2014 msimu wa Tatu Bahati Muliga na Meneja Utetezi na Ushawishi kutoka Oxfam Eluka Kibona wakihojiwa...
View ArticleLOWASSA ATIKISA MUSOMA,AENDELEA KUSABABISHA MAFURIKO
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Mjini, Vicent...
View ArticleGHARIKA YA LOWASSA NA UKAWA JIJINI MWANZA JANA.. SUMAYE KUFUNGIA KAMPENI...
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwasili kwenye Uwanja wa Furahisha, Jijini Mwanza leo Oktoba 12,...
View ArticleMkapa Atoa wito wa kufanyika kwa mabadiliko katika mfumo wa uendeshaji wa...
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez akipozi na bango la picha lenye rangi mbalimbali zinazowakilisha malengo ya...
View ArticleDUNIA YAHIMIZWA KUWAJIBIKA KWA AJILI YA AMANI
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh. Bernard Membe akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kushiriki katika kilele cha maadhimisho ya miaka...
View ArticleDUNIA YAHIMIZWA KUWAJIBIKA KWA AJILI YA AMANI
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh. Bernard Membe akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kushiriki katika kilele cha maadhimisho ya miaka...
View ArticleMNUSO WA BIRTHDAY YA MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA WAFANA JIJINI DAR #UN70
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez akipokea wageni nyumbani kwake kwenye mnuso wa birthday ya miaka 70 ya Umoja wa...
View ArticleMNUSO WA BIRTHDAY YA MIAKA 70 YA UMOJA WA MATAIFA WAFANA JIJINI DAR #UN70
Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Bw. Alvaro Rodriguez akipokea wageni nyumbani kwake kwenye mnuso wa birthday ya miaka 70 ya Umoja wa...
View ArticleMAGUFULI AHUTUBIA KISIWANI PEMBA LEO,AAHIDI KUULINDA MUUNGANO KWA NGUVU ZOTE
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Pemba jioni ya leo kwenye kutano wa kampeni uliofanyika kwenye...
View ArticleRais Kikwete aongoza maelfu ya waombolezaji kwenye mazishi ya Dkt...
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara Marehemu Dkt Abdallah Kigoda mjini Handeni Alhamisi Oktoba 15, 2015 kuongoza mamia ya waombolezaji katika...
View ArticleWashindi wa Shindano la 'Genius-Cup' Wazawadiwa
Mwanafunzi Fuad Thabit kutoka Feza Boys Secondary aliyeibuka mshindi wa kwanza shule za sekondari katika Shindano la Genius-Cup akipokea cheti na zawadi yake ya shilingi 300,000 toka kwa  mgeni rasmi...
View ArticleMAPOKEZI YA LOWASSA JIJINI MBEYA NI SHEEDAAAA
 Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, amepata mapokezi makubwa mithili ya mfalme na wakazi wa jiji la Mbeya...
View ArticleLOWASSA AWEKA HISTORIA MBEYA, AUNGURUMA VIWANJA VYA RWANDA-NZOVWE
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mbeya katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika...
View ArticleDKT MAGUFULI ASHIRIKI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU DEO FILIKUNJOMBE...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli  akitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza ya aliyekuwa Mbunge wa Ludewa(CCM) Marehemu Deo...
View ArticleSHINE WITH SHINA ANNUAL GALA 2015 YAFANA GREENBELT, MARYLAND
Meza kuu kutoka kushoto ni Bi. Jennifer Jones ambaye ni ni mkuu wa Kamisheni ya wanawake kaunti ya Prince George, Afisa Suleiman Saleh ambaye alimwakilisha Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe....
View ArticleUNDP YASISITIZA VITA YA UMASKINI KWA KUTUMIA MAZINGIRA
Mkurugenzi Msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) Tanzania, (Ushauri na Miradi), Amon Manyama akitoa maelezo kuhusu mradi wa PEI na salamu kutoka UNDP kwa washiriki wa mafunzo hayo...
View Article