ZIARA YA MESHIMIWA EDWARD LOWASSA - LONGIDO
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia Wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni, Uliofanyika eneo la Namanga, Jimbo la...
View ArticleTASWIRA: MAPOKEZI YA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA NA MKUTANO JIJINI ARUSHA
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwa ameambatana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Mh....
View ArticleSimanzi: Mgombea Ubunge Arusha Mjini kupitia ACT Wazalendo, Estomih Mallah...
By Louis Kolumbia, Mwananchi DigitalMgombea Ubunge kupitia ACT-Wazalendo Jimbo la Arusha Mjini amafariki dunia katika hospitali ya Kilimanjaro Christian Medical Center (KCMC) usiku wa kuamkia leo...
View ArticleMKUTANO WA LOWASSA MOSHI MJINI; AAHIDI NEEMA KWA WAKULIMA WA ZAO LA KAHAWA...
Kada mkongwe wa Chama cha Mapinduzi,aliyejiengua hivi karibuni ,Kingunge Ngombalemwiru akisalimia wakati wa mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea Urais kupitia Chadema na Vyama vinavyounda Umoja wa...
View ArticleBUZWAGI YAWAZAWADIA WAFANYAKAZI BORA WA MWAKA
Meneja wa Idara ya Maboresho ya Biashara wa Mgodi wa Buzwagi Bwana Richard Ojendo wa kwanza kushoto akipokea tuzo ya heshima ya utumishi uliotukuka ya meneja wa mgodi, “General Manager Prestegious...
View ArticleLOWASSA ATIKISA KARATU KWA DR SLAA, NYOMI YA HATARI
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akivalishwa mgolole katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa...
View ArticleTASWIRA: MARUFIKO YA LOWASSA JIMBO LA SIHA JANA KABLA HAJAENDA TARAKEA,...
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi wa Siha katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa Sanja, Kata ya Nasia...
View ArticleSALAMU ZA POLE TOKA CHADEMA ARUSHA KUHUSINA NA KIFO CHA MGOMBEA UBUNGE WA...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Arusha Mjini kimesikitishwa na kuhuzunishwa na kifo cha mmoja wa wanasiasawakongwe nchini, Ndugu Estomih Jonas Mallah...
View ArticleGESI YA BAGAMOYO ITALINUFAISHA TAIFA-MAGUFULI
Umati wa wakazi wa mji wa Bagamoyo mkoa wa Pwani wakiwa wamekusanyika kwenye uwanja wa shule ya Msingi majengo wilayani Bagamoyo wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli (hayupo...
View ArticleAnayedaiwa Kuzusha Taarifa za kifo cha Mkuu wa Majeshi kortini
MWANAFUNZI wa Chuo cha Teknolojia cha Dar es Salaam (DIT), Benedict Ngonyani, amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kusambaza taarifa kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Davis Mwamunyange,...
View ArticleRAIS WA NAMBIA AANZA ZIARA YA SIKU MBILI NCHINI TANZANIA
Rais wa Namibia, Hage Geingob akilakiwa na Rais Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya...
View ArticleTASWIRA: MGOMBEA MWENZA WA LOWASSA URAIS WA TANZANIA, MH JUMA DUNI HAJI...
Mgombea mwenza wa Chadema, Juma Duni Haji akihutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Chang’ombe mkoani Dodoma. Mgombea mwenza wa Chadema, Juma Duni Haji akimnadi...
View ArticleMWIGULU NCHEMBA AKIOMBA KURA MKOA WA SIMIYU
Mwigulu Nchemba akiondoka Jimbo la Maswa Mashariki kumnadi Ndg.Nyongo mbunge mtarajiwa wa Chama cha Mapinduzi.“CCM mambo yapo Poaaaa!!!”Mwigulu Nchemba akiwasili eneo la Mkutano akiwa na Mbunge wa...
View ArticleUBADHIRIFU KIKWAZO CHA USHIRIKA KUSHAMIRI
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Dk. Tausi Kida na Mkurugenzi Msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) Tanzania, (Ushauri na Miradi), Amon...
View ArticleTASWIRA: RAIS KIKWETE AKIZINDUA KIWANDA CHA SARUJI CHA DANGOTE MTWARA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Halima Denengo na mmiliki wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko Dangote (nyuma yao) wakati wa sherehe za kuzindua...
View ArticleUNESCO kuendelea kushirikiana na Idara ya Mambo ya Kale katika kuboresha...
Baadhi ya washiriki wa warsha iliyoandaliwa na UNESCO pamoja na Idara ya Mambo ya Kale wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Mr Adelhelm Meru kufungua...
View ArticleTECNO YAJA NA UBUNIFU ZAIDI
MAKAMPUNI yanayozalisha Simu nchini yameshauriwa kuhakikisha wanakuwa wabunifu katika kusanifu na kuzalisha simu bora ili kwenda sambamba na soko na mahitaji ya wateja. Wito huo umetolewa na Meneja...
View ArticleTAMASHA LA MTOTO KIKE LAFANA, LATOA KAULI NZITO
Mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Kike Duniani Mkurugenzi wa watoto kutoka Wizara ya Jamii, Jinsia na Watoto Bi. Margaret Sawe Mussai akiwaasa watoto wa kike kuzingatia elimu kwani...
View ArticleINTRODUCING NEW MOVIE ; MAISHA NI SIASA
MAISHA NI SIASA is a political film that tells a story of sacrifice, patriotism, loyalty, heroism, challenges and the role that bloggers and social media activists play in postindependent African...
View ArticleTTCL Wazinduwa Wiki ya Huduma kwa Wateja, Kuwatembelea Wateja Popote
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) akikata keki katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kuzinduwa wiki ya huduma kwa wateja...
View Article