Rais Kikwete awateua Wakuu wa Wilaya 27; Wapo Paulo Makonda, Shaban Kissu na...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA WILAYA WAPYA 27*Atengua uteuzi wa Ma-DC 12, awabadilisha vituo 64, awabakiza 42 kwenye vituo vyao vya zamaniRAIS Jakaya Kikwete amefanya...
View ArticlePolisi barabarani wanajusanya mapato badala ya kusimamia usalama!
OPERESHENI ya kukamatamadereva wa magari wanaofanyamakosa ya barabarani,inayoendana na utozaji wa tozoza faini, imewaondoa Askari waUsalama Barabarani, kwenyejukumu lao la msingi lakuhakikisha usalama...
View ArticleUN YATAKA JUHUDI ZAIDI KUKABILI MAUAJI YA ALBINO
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza na binti wa miaka 19 ambaye ni mlemavu wa ngozi na...
View ArticleUZALENDO, UADILIFU NA MASLAHI YA TAIFA: WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI JAMII
Mshehereshaji kwenye madhimisho ya siku ya redio duniani, Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua rasmi maadhimisho hayo Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mkoani...
View ArticleJoshua Nassari Akabidhi Mifuko ya Saruji kuchangia Ukarabati wa majengo ya...
Mbunge wa Arumeru mashariki Joshua Nassari akifanyiwa maombi na wakazi wa jimbo lake mara baada ya kutoa msaada wa mifuko ya cement kwa ajili ya ujenzi wa madarasa katika shule tatu tofauti wilayani...
View ArticleMwenyekiti BAWACHA Arusha Atembelea Sule ya Engutoto Iliyoteketea kwa Moto na...
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) Mkoa wa Arusha Mh Cecilia Ndossi leo hii ametembelea Shule ya Sekondari Engutoto iliyopo Wilayani Monduli na kujionea hali halisi na uharibifu...
View ArticleTAARIFA YA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) KUHUSU VIJANA WALIOHITIMU MAFUNZO KWA...
Jeshi la Kujenga Taifa lilianzishwa Julai 10, 1963 na serikali kwa lengo la kuwaweka pamoja vijana wa nchi hii na kuwapa malezi kuhusu uzalendo na umoja ili kuondoa dalili za matabaka zilizoanza...
View ArticleCHADEMA waunguruma Namanga na kuhimiza Wanachi Kujiandikisha; Mjumbe...
Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha Mh Amani Golugwa akihutubia wananchi wa Namanga Wilaya ni Longido jana baada ya kumpokea aliyekuwa Mjumbe wa...
View ArticleTAKUKURU YACHUNGUZA UFISADI CARMATEC ARUSHA
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru) mkoani Arusha imemhoji mkurugenzi mkuu wa kituo cha zana za kilimo na teknolojia vijijini (Carmatec),Elfariji Makongoro pamoja na baadhi ya watumishi...
View ArticleFUTURE STARS ACADEMY YA ARUSHA KUSHIRIKI MICHUANO JIJINI KAMPALA
Kituo cha kukuza soka la vijana cha Future Stars Academy(FSA) cha jijini Arusha kinataraji kushiriki katika michuano ya Uganda Junior League inayotaraji kutimua vumbi jijini Kampala mnamo Aprili 24...
View Article2015 MISA’S ‘WOMEN TO WATCH’: NOMINATE HOYCE TEMU, VOTE TANZANIA…
Former Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu on field during the recording of her TV talk show.She also has her own talk show, Mimi na Tanzania (Me and Tanzania), which focuses on CSRs, fundraising, and...
View ArticleUNCDF CALL FOR INVESTMENT (PROJECT) PROPOSALS IN TANZANIA
This United Nations Capital Development Fund (UNCDF) call for investment proposals is the first in Tanzania under the Local Finance Initiative (LFI) programme which is being implemented in partnership...
View ArticleTHE MOHAMED AMIN AFRICA MEDIA AWARDS - CALL FOR ENTRIES
Mohamed Amin Africa Media Awards – Celebrating ExcellenceAFRICA24 MEDIA, the Pan African, international quality, multi-platform content provider, joins MoSound, East Africa’s premiere events company,...
View ArticleCHADEMA: YANAYOJIRI NJOMBE–UANDIKISHAJI WAPIGA KURA KWA MFUMO WA BVR
Picha ya Maktaba: Aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi (katikati), akiangalia uandikishaji kura wa majaribio cha Bunju A CHAMA CHA DEMOKRASIA NA...
View ArticleHAKI ZA BINADAMU WAPINGA UKATILI,UNYAMA NA VITENDO VYA KUTWEZA ALIVYOFANYIWA...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UKATILI,UNYAMA NAVITENDO VYA KUTWEZA ALIVYOFANYIWA MHITIMU MWANAJESHI WA JESHI LA...
View ArticleJAMII MEDIA YA JIJINI ARUSHA YAKUSANYA WANAHABARI NA KUWAFARIJI WATOTO YATIMA...
Na Ferdinand Shayo,Arusha.Wanahabari kutoka vyombo mbali mbali vya habari nchini wametembelea kituo cha watoto yatima cha Huruma Children Center kilichopo Mtaa wa Morombo na kuwafariji pamoja na...
View ArticleCHADEMA WANAKUSHIRIKISHA KUJUA MFUMO WA BVR UNAVYOFANYA KAZI, UZOEFU WA GHANA
Kumekuwa na sintofahamu kubwa kati ya Tume ya Uchaguzi na Vyama vya Siasa kuhusu kuwasajili watu kwenye daftari la kudumu la wapiga kura. Kujifunza na kujua ukweli kuhusu uwezekano wa kuwasajili raia...
View ArticleTASWIRA YA MKUTANO WA PAMOJA WA VYAMA VINAVYOUNDA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI...
Viongozi wa Vyama vya CUF na CHADEMA wakiwa pamoja katika mkutano jijini Washington DC.Mbunge wa Mji Mkongwe Zanzibar Mh Ismail Jussa akiwa katika mkutano wa Pamoja wa Vyama vinavyounda umoja wa...
View ArticleTASWIRA: HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU KAPTENI JOHN KOMBA VIWANJA VYA...
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Kapteni John Komba likiwa limebebwa kuelekea kwenye jukwaa maalum kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Familia ya Marehemu Kapteni John Komba ikiwa...
View Article