TASWIRA: KAMPENI ZA CCM CHALINZE ZAIVA
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akilakiwa na Wananchi wakazi wa Kijiji cha Chahua,Kata ya Bwilingu leo Machi 27, 2014 wakati wa Muendelezo wa Kampeni...
View ArticleMATUKIO ZAIDI: KAMPENI YA UBUNGE CHALINZE- CHADEMA
Mgombea wa Chadema akihutubia wakazi wa Lugoba. Chadema wamekuwa wakifanya kampeni za kimyakimya tofauti na ilivyokuwa Kalenga hali inayodaiwa kuwashtua wapinzania wao CCM Makamu Mwenyekiti wa Chadema...
View ArticleUkawa sasa yapania kufanya ziara nchi nzima; Yaaanza na Mkutano mkubwa Jijini...
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa akihutubia wananchi wa Jiji la Mwanza jana masuala mabalimbali kuhusiana na Bunge la Katiba ikuhusisha Umoja wa Katiba ya Wananchi. Tayari kwa nyakati tofauti CCM...
View Article“Jakaya Kikwete Sports Village” kujengwa Dodoma
Mfano wa ramani ya Center inayotarajiwa ya Dr. Jakaya Kikwete National Sports VillageMAANDALIZI ya ujenzi wa kijiji cha michezo kitakachojulikana kama Jakaya Kikwete Sports Village yanaendelea vizuri,...
View ArticleUturuki kushiriki miradi ya ujenzi nchini
KAMPUNI tatu kutoka Uturuki zimeingia nchini kwa lengo la kushiriki katika ujenzi kwenye miradi tofauti katika maeneo mbalimbali. Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya KAYA ya Uturuki, Orhan Babaoglu, alisema...
View ArticleOFA: Makampuni yanakaribishwa Sokoine Marathon "Corporate Team Challenge"
Kama njia ya ushirikiano na makampuni ambayo huwa inakuwa mstari wa mbele kudhamini michezo; Tunayo furaha kukaribisha kampuni zenye kutaka kushiriki na kutangaza bidhaa zao.Kwa watakaokidhi masharti...
View ArticleMAMEYA NA WAKURUGENZI WA HALMASHAUURI NA MAJIJI WAKUTANA ARUSHA
Wito umetolewa kwa Halimashauri zote nchini kutafuta njia mbadala za kuongezea Mapato yake ya ndani tofauti na ilivyizoeleka kutegemea mapato yatokanayo na ushuru mbalimbali wanaokusanya katika...
View ArticleUMUHIMU WA APRM KATIKA KUIMARISHA UTAWALA BORA NA UCHUMI TANZANIA
Tanzania, kama zilivyo nchi nyingi duniani kwa miaka mingi imekuwa mfuasi wa dhana ya usawa na haki ili kuwa msingi wa maendeleo ya kijamii na kiuchumi ili kutimiza matakwa ya demokrasia.Hali hii...
View ArticleNAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA) MWEZI APRIL 2014
Tanzania Revenue Authority Jobs , April 2014Tanzania Revenue Authority (TRA) was established under the Tanzania Revenue Authority Act No.11 0f 1995.The Authority is a semi-autonomous agency of the...
View ArticleNAFASI MPYA ZA KAZI CHUO KIKUU ARDHI TANZANIAMWEZI APRIL 2014
SENIOR ADMINISTRATIVE OFFICER IIFrom the Guardian of 1st April Ardhi University has vacant positions in the Academic and Administrative cadre. The University subscribes to the policy of an equal...
View ArticleKENYA AIRWAYS WAZINDUA NDEGE MPYA YA KISASA “DREAM LINER BOENG 787” YA KWANZA...
On Saturday, Kenyan president Uhuru Kenyatta launched the first Kenya Airways Dream liner Boeing 787 ‘the Great Rift Valley’.President Kenyatta (L) with Somalia President Hassan Sheikh Mohamud in the...
View ArticleTamko la awali la CHADEMA kupinga uchaguzi mdogo wa Chalinze
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kinatoa tamko la awali kwa umma kuhusu ukiukwaji mkubwa wa taratibu, kanuni na sheria zinazosimamia uchaguzi, zilizofanyika kwenye mchakato wa uchaguzi...
View ArticleMWIZI WA VIOO VYA MAGARI ABAMBWA ARUSHA NA KUPEWA KICHAPO
Waswahili wanamsemao kuwa ‘za mwizi ni 40’Pichani ni kijana mmoja aliyakamatwa akiiba side mirror katika moja ya magari yaliyoegeshwa eneo la Mc Moodys – Friends Corner na kuishia kushushiwa kipigo...
View ArticleKINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE BUHINGWE KIGOMA
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Kibande,kwenye mkutano wa hadhara wilayani Buhigwe mkoani KigomaKatibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa...
View ArticleKINANA, NAPE WAFANYA ZIARA JIMBONI KWA ZITTO KABWE MKOANI KIGOMA
Kinana akilakiwa baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya CCM, Kata ya Mwandiga, Kigoma Vijijini ambapo alifamya mkutano wa ndani na Kamati ya Siasa ya Kata hiyo. Gari alilokuwemo Katibu Mkuu wa CCM,...
View ArticleUS Billionaire, Howard Buffett Joins Tanzania’s Anti-poaching efforts
Howard Buffett greets Commander Venace Tossi when they met at Pasiansi Wildlife Training Institute. Through the Howard G. Buffet Foundation (HGBF), the renowned ecologist said his foundation will on...
View ArticleTASWIRA: DIWANI NANYARO AKAGUA KUKAMILIKA KWA HOSPITALI YA MAMA NA MTOTO KATA...
Mh Ephata Nanyaro Diwani wa Kata ya Levolosi akipokea maelezo toka kwa Dk Naaman Hosea Mtaalamu wa Upasuaji na Uzazi kuhusu chumba cha upasuaji, vifaa vitakavyokuwepo na huduma nzima ya uzazi. Kulia...
View ArticleIFC AND CRDB BANK COMMIT TO SUPPORT SME AND AGRIBUSINESS SECTORS IN TANZANIA
Dr. Charles Stephen Kimei, Managing Director of CRDB Bank Group, speaks during a landmark $75 million loan agreement signing ceremony with the International Finance Corporation (IFC) aimed at providing...
View ArticleMAONI YA WAJUMBE WALIO WA WACHACHE KATIKA KAMATI NAMBA NNE KUHUSU SURA YA...
Mjumbe wa Bunge maalum la Katiba Mhe. Tundu Lissu alipokuwa akitoa Hotuba ya Maoni ya walio wachache kutoka katika Kamati Na.4 kabla ya Kukatiwa matangazo na Kituo cha matangazo cha...
View ArticleJK ASHIRIKI KUMBUKUMBU YA MIAKA 30 YA KIFO CHA HAYATI EDWARD MORINGE SOKOINE...
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akishiriki misa maalum ya kumbukumbu ya miaka 30 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine iliyofanyika nyumbani kwake Monduli. Kulia...
View Article