Quantcast
Channel: PolitiksiFactTrack ''ARUSHA255''
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1899

MWIZI WA VIOO VYA MAGARI ABAMBWA ARUSHA NA KUPEWA KICHAPO

$
0
0

10170939_10152290823406422_7501553892553148984_nWaswahili wanamsemao kuwa ‘za mwizi ni 40’
Pichani ni kijana mmoja aliyakamatwa akiiba side mirror katika moja ya magari yaliyoegeshwa eneo la Mc Moodys – Friends Corner na kuishia kushushiwa kipigo kikali. Wizi wa vifaa vya magari umekuwa ukilalamikiwa na wamiliki wa magari kwa muda mrefu. Kwa siku za karibuni wizi huu umeanza kuenea maeneo mbalimbali ya Jiji la Arusha na hivyo kuilazimu jamii kuishi kwa mashaka na magari yao pindi wayaachapo mjini kwenye maeneo ya maegesho.

Picha na Mariam Luther


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1899

Trending Articles