Quantcast
Channel: PolitiksiFactTrack ''ARUSHA255''
Browsing all 1899 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGTON, DC.

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha wageni huku Mhe. Waziri Bernard Membe na Mhe. Balozi Liberata Mulamula wakishuhudia. Rais Dkt Jakaya Kikwete akitembea kwa miguu kutoka hotelini kwake kuja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taswira: Rais Jakaya Mrisho Kikwete Atunukiwa Shahada ya Uzamivu katika Chuo...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Dkt. Shukuru Kawambwa  na  Waziri wa Mambo ya Nje na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA: MKUTANO WA MUUNGANO WA VYAMA VYA UPINZANIA JANGWANI JANA KUDAI...

Wenyeviti wa vyama vya upinzani wakiwa wameshikina mikono kuonesha mshikamano wao wakati wa mkutano wa kuwahamasisha wananchi kuungana na kudai mchakato huru wa katiba mpya unaoshirikisha wananchi wote...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: SHAMBULIO LA KIGAIDI NCHINI KENYA KATIKA ‘WEST GATE MALL’...

Mtoto akikimbia kuokoa maisha yakeKama taarifa imekupita ni kwamba Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amekiri kuwa idadi ya waliofariki inafikia 39 na zaidi ya 150 kujeruhiwa..  Picha hizi ni kwa mujibu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA: MUONE REDDS MISS TANZANIA 2013 NA JINSI ALIVYOPATIKA MALIMANI CITY...

HATIMAYE kitendawili cha nani atanyakua taji la Redd’s Miss Tanzania 2013 kimeteguliwa usiku huu na mrembo Happiness Watimanywa kutoka Mkoa wa Dodoma na Kanda ya Kati kufanikiwa kutawazwa Mshindi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA: MKUTANO WA DR SLAA WASHINGTON DC

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilboard Slaa leo Jumapili Sept 22, 2013 aliongea na Watanzania wa DMV na vitongoji vyake kuhusu mstakabali mzima wa Tanzania, kisiasa, kiuchumi na huku akigusia mali asili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Young Talents Festival! Viwanja vya Biafra Kinondoni dar es Salaam Desemba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ufafanuzi wa Wakili Peter Kibatala kuhusu Kesi ya Zitto dhidi ya Chadema

Peter Kibatala, Wakili na Mkurugenzi wa Sheria,Katiba na Haki za Binadamu CHADEMA (kushoto) akizungumza na Wakili wa Mh Zitto Kabwe, Bw Albert Msando.Picha ya Maktaba kwa hisani ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kutekwa na kuteswa Mwenyekiti wa Temeke: Mkakati mzima wa kuihusisha CHADEMA...

Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Temeke, Josephat Yona Patrick akiinuliwa na wasamaria wema eneo la Ununio alikoelezwa kutelekezwa. Picha na Majira---------------------Jana majira ya saa 3.30 asubuhi,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makala ya Mwananchi: Kwa Zitto sawa, ila kwa Lowassa hapana

 Zitto Kable na Edward Lowassa----------- Baada ya Chadema kuwavua nyadhifa zao aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Dk Kitila Mkumbo na aliyekuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RIPOTI YA SIRI JUU YA ZITTO KABWE KWA CHADEMA UCHUNGUZI WA MWENENDO WA...

RIPOTI YA SIRI JUU YA ZITTO KABWE KWA CHADEMAUCHUNGUZI WA MWENENDO WA KISIASA WA ZITTO Z. KABWE NDANI NA NJE YA CHADEMA.UTANGULIZI:Tangu mwaka 2008 mwenendo wa kisiasa wa Zitto Zuber Kabwe ulianza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Umeshawahi kufikiria kuwa na sakafu ya mbao ndani ya nyumba yako?

Sakafu ya mbao, kitaalamu inaitwa “Parquet Flooring”. Sakafu hii kama picha inavyoonesha imeunganishwa na tiles zenye rangi inayofanania nazoHizi ni stepu za ngazi ambazo zimewekewa mbano ngumu badala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Interior decorations for a hotel room

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

External Pavings kwa kutumia mawe ya mtoni

External Pavings kwa kutumia mawe ya mtoniLeo Blog yako ya ujenzi inakuletea teknolojia mpya ya kutengeneza madhari ya kuzunguka nyumba na kwa kutumia mawe madogomadogo yanyopatikana mtoni.Kama picha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA : MAADHIMISHO MIAKA 50 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YALIVYOFANA JANA

  Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia wananchi wa Zanzibar wakati akiingia kwenye uwanja wa Amani  na gari la wazi kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi. Rais wa Jamhuri ya Muungano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI WA ARUSHA WAAMUA KUWAFUATA WANANCHI MITAANI

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Liberatus Sabas akiongea na askari, viongozi wa vyama na serikali, vikundi vya ulinzi shirikishi pamoja na wananchi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PPF na Ujenzi wa Jengo Kubwa Jijini Arusha

Mfuko wa PPF unaendelea na uwekezaji katika miradi ya ujenzi na kwa sasa kuna jengo kubwa linaendelea na ujenzi wake katika Barabara ya Old Moshi Jijini Arusha. Jengo hilo ni kwa ajili ya huduma za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA BEYONCE ILIYODAIWA KUMKUFURU YESU KRISTO

Mtandao wa hip hop morning umeelezea jinsi msanii wa muziki wa majuu maarufu kama "Beyonce" alivyoonekana kuwakela watu wengi nchini Marekani hasa wale wakristo.Mwanadada Beyonce, inasemekana juzi kati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nani Kuchukua Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia Hii Leo!?

Tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia (Ballon d'Or) inatolewa leo jijini Zurich Switzerland, ambapo mchezaji mmoja kati ya wakali Christiano Ronaldo, Lionel Messi na Frank Ribery ataibuka na tuzo hiyo....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VYAKULA VYA KUONGEZA UWEZO WA TENDO LA NDOA.

 POMEGRANATENi aina fulani ya matunda mekundu yanayofananana na apple. Haya yatajwa kusaidia kuamsha mishipa ya fahamu na kuweka mawasiliano sahihi ya mwili na hivyo kumuongezea mtu uwezo kwa kufanya...

View Article
Browsing all 1899 articles
Browse latest View live