Mfuko wa PPF unaendelea na uwekezaji katika miradi ya ujenzi na kwa sasa kuna jengo kubwa linaendelea na ujenzi wake katika Barabara ya Old Moshi Jijini Arusha. Jengo hilo ni kwa ajili ya huduma za kibiashara na ofisi mbalimbali na linatazamiwa kuonekana kama picha inavyoonesha pindi likikamilima mwishoni mwa mwaka 2015.
↧
PPF na Ujenzi wa Jengo Kubwa Jijini Arusha
↧