GIDABUDAY ASHANGAZWA NA KITENDO CHA VIONGOZI WA CHAMA CHA RIADHA NCHINI...
Rais wa chama cha riadha Tanzania (RT) Anthony Mtaka akiwa mjini Moscow Wakati nchi za ulimwengu zikiwakilishwa na wanariadha wake mahiri katika mashindano ya dunia ya riadha mjini Moscow Urusi,...
View ArticleTAMKO LA JESHI LA POLISI TANZANIA KUHUSU SAKATA LA SHEKHE PONDA
TAMKO LA JESHI LA POLISI TANZANIA KUHUSU SAKATA LA SHEKHE PONDA1. MNAMO TAREHE 10, AGOSTI ,2013 MAJIRA YA SAA 8 MCHANA, MAENEO YA SHULE YA MSINGI KIWANJA CHA NDEGE MANISPAA YA MOROGORO, KULIFANYIKA...
View ArticleTASWIRA: JAJI MKUU AFUNGUA KONGAMANO LA MAJAJI JIJINI ARUSHA
Jaji mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akiwa na viongozi wengine katika ufunguzi wa kongamano la majaji wanawake,katika hoteli ya Mount Meru, jijini Arusha. Jaji mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed...
View ArticleBilionea Msuya kuzikwa leo
Arusha.Mazishi ya kifahari yanaandaliwa na familia ya marehemu Erasto Msuya, huku ikielezwa kuwa jeneza litakalotumika kubeba mwili wake linafunguka kwa kutumia ‘rimoti’. Msuya aliyeuawa wiki...
View ArticleLema, Nassari washiriki kuaga mwili wa “Redbrigade” wa Chadema Usa River...
Baadhi ya walinzi wa amani wa Chadema Jijini Arusha kutoka kitengo cha chama maarufu kama Brigedia Nyekundu wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mwenzao Privatus Lazaro Mahabusi (38) kutoka katika...
View ArticleKAZI: ANAHITAJIKA GRAPHICS DESIGNER JIJINI ARUSHA, MSHAHARA 350,000/=
JOB VACANCY FOR GRAPHIC DESIGNERPosition: Graphic DesignerPlace: BrandPoint Tanzania LimitedDuty Station: Arusha CitySalary Scale: Between TZS. 250,000/= - TZS. 350,000/=Description:Rapidly growing...
View ArticleTASWIRA KUTOKA MIRERANI: YALIYOJIRI KATIKA MAZISHI YA MFANYA BIASHARA ERASTO...
Hapa utaratibu wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Maremu Erasto Msuya. Hii ndio nyumba ya milele ya bilionea Erasto Msuya ikiandaliwa. Wakati unaingia nyumbani kwa bilionea Erasto Msuya hili ndio...
View ArticleTASWIRA: MKUTANO WA BARAZA LA KITAASISI LA CHADEMA KWA MAONI YA RASIMU YA...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dr Wilbroad Slaa akizungumza na wananchi wa Jijini Arusha jioni ya leo katika muendelezo wa Mikutano ya wazi ya Mabaraza ya Kitaasisi ya...
View ArticleWachimbaji madini wa migodi minne ya Tanzanite Waiomba Serikali Kuwafungulia...
Wachimbaji madini wa migodi minne ya Tanzanite Mji mdogo wa MireraniWilayani Simanjiro Mkoani Manyara, ambayo imesimamishwa kufanya kaziwameiomba Serikali kuifungulia, ili waendelee na shughuli zao...
View ArticleJamii Ishirikiane Kutokomeza Ukatili wa Kumwagiana Tindikali… Baadhi ya...
Miaka ya karibuni, matukio ya watu mbalimbali kumwagiwa tindikali inayoweza kuwasababishia ulemavu ama kifo yameongezeka kwa kasi kiasi cha kuonekana kama ni jambo la kawaida tu. Mwishoni mwa wiki...
View ArticleTaswira: Basi la UDA ndani ya Jiji la Arusha
Kamera yetu ilibahatika kunasa taswira ya basi la kampuni kongwe ya usafiri Dar es Salaam, UDA likikata mitaa ya Jiji la Arusha. Basi hilo linadhaniwa lilisafirisha wageni toka dar es Salaam hadi...
View Article‘Birthday Party’ya Mdau Wetu wa Nguvu Glory Kaaya Yabamba….
Jioni ya August 8, 2013 mdau mkubwa wa Blog hii, mwanadada Glory Kaaya aliandaa tafrika fupi na marafiki zake wa karibu katika kuadhimisha tarehe ya kuzaliwa kwake.Tafrija hiyo ilifanyika nyumbani...
View ArticleTASWIRA: KIKAO KINGINE CHA BARAZA LA KATIBA LA KITAASISI LA CHADEMA...
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Wilbroad Slaa akifafanua jambo katika Kikao cha Mkutano wa Baraza la Katiba kwa upande wa Chadema kama taasisi ya kisiasa kukusanya maoni na mapendekezo juu ya Rasimu ya...
View ArticleJuhudi za Dk. Mwakyembe Kupamabana na Wasafirishaji wa Dawa za Kulevya katika...
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akionesha picha ya kijana Leonard Jeremiah Monyo ( Edwin Jeremiah Monyo) ambaye amekamatwa na kete 86 za madawa ya kulevya aina ya heroineWaandishi kutoka...
View ArticleKesi dhidi ya Lema (Mb) ya uchochezi Chuoni yaahirishwa hadi Oktoba 1, 2013;...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imeahirisha shauri la kesi inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mh Godbless Lema (CHADEMA), kwa tuhuma za kuchochea vurugu katika Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)...
View ArticleG-SENGO ANARIPOTI: MAANDAMANO YA CHADEMA KUMNG'OA MEYA ILEMELA JIJINI MWANZA...
MAANDAMANO ya amani yaliyokuwa yameandaliwa na chama cha demokrasia na maendeleo(chadema) yamegeuka shubiri kwa wakazi wa jiji la Mwanza baada ya kuibuka mapambano makali baina ya waandamanaji hao na...
View ArticleVIGOGO WA DECI WAHUKUMIWA MIAKA 3 JELA, WALIOWEKA PESA ZAO KURUDISHIWA
Viongozi wa DECI Arbogast Kipilimba, Jackson Mtares, Samwel Mtares, Dominick Kigedi na Timotheo Saiguran ole Loiting’ye, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka...
View ArticleTASWIRA: MARAIS WASTAAFU MKAPA , MWINYI NA RAIS KIKWETE WALIPOHUDHURIA...
Marais wastaafu Mzee Benjamin Mkapa na mkewe mama Anna Mkapa na Alhaj Ali Hassan Mwinyi wakiwa katika uwanja wa Taifa wa michezo wa Harare, Zimbabwe, katika sherehe za kuapishwa Rais Robert Gabriel...
View ArticleTASWIRA: NDEGE NDOGO ILIYOANGUKA KATIKA ZIWA MANYARA
Ndege ndogo ya shirika la Tanzanair iliyokuwa ikitokea mjini Bukoba mkoani Kagera kwenda Dar ss Salaam imelazimika kutua kwa dharura katika ziwa Manyara baada ya injini yake moja kuzimika ghafla ikiwa...
View Article