TAARIFA YA MA NJI WA YANGA KUHUSU URUSHWAJI KATIKA TELEVISHENI MICHEZO YA YANGA
Uongozi wa klabu ya Yanga leo umefanya mkutano na waandishi wa habari juu ya urushwaji wa michezo yake ya Ligi Kuu katika kituo cha luninga cha Azam ambacho kimeingia makubaliano na kamati ya Ligi Kuu...
View ArticleSamatta ampa ulaji Kaseja huko Kongo
*Atengewa dau la mil 50 Kongo*Mwenyewe asema yupo tayari kujiunga naoMFANO mzuri unaooneshwa na wachezaji wa Tanzania, wanaocheza soka la kulipwa nchini Kongo DRC, katika klabu ya TP Mazembe, Mbwana...
View ArticleTCRA YAZINDUA KAMPENI KUHAMASISHA MATUMIZI MAZURI YA MAWASILIANO KWA NJIA YA...
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akizungumza na wadau mbali mbali wa maswala ya habari hapa nchini wakiwemo wamililiki wa magazeti tando (Blogggers) juu ya...
View ArticleHatima makada wa Chadema Agosti 5
Mawakili wa pande zote wametoa maelezo yao huku upande wa Henry Kilewo na wenzake ukiitaka Mahakama Kuu ifute mashtaka yanayowakabili kutokana na kutokuwa na uhalali wa kisheria.Mahakama Kuu Kanda ya...
View ArticleIYDU PRESS RELEASE: TANZANIA GOVERNMENT SHOULD FORM JUDICIAL COMMISSION OF...
INTERNATIONAL YOUNG DEMOCRAT UNION (IYDU)TANZANIA GOVERNMENT SHOULD FORM JUDICIAL COMMISSION OF INQUIRY TO INVESTIGATE THE KILLINGS AND TORTURES OF INNOCENT CITIZENS IN TANZANIADear Members of the...
View ArticleWaziri Mkuu Pinda ashtakiwa Mahakamani kwa kauli yake Bungeni ya ‘Nasema...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk Hellen Kijo-Bisimba akiwaonyesha waandishi wa habari, stakabadhi na hati ya mashtaka yaliyofunguliwa dhidi ya Waziri Mkuu, Mizengo...
View ArticleMBUNGE VITI MAALUM (CCM) ARUSHA KUPITIA TAASISI YAKE YA CATHERINE FOUNDATION...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha na Mkurugenzi wa Taasisi ya Catherine Foundation, Catherine Magige akikabidhi msaada wa vyakula na vitu mbalimbali kwa watoto yatima wa kituo cha Help for...
View ArticleUSHAHIDI ZAIDI GREEN GUARD YA CCM, UHUSIANO NA VYOMBO VYA DOLA; SERIKALI...
Kwa muda mrefu sasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa kikitoa madai mazito dhidi ya CCM kutumia kikundi cha ulinzi na usalama kiitwacho Green Guard, kufanya vitendo vya siasa chafu,...
View ArticleZIJUE SABABU ZA CHADEMA KUUNGA MKONO MUUNDO WA SERIKALI TATU.. SOMA HAPA
SABABU ZA KUUNGA MKONO MUUNDO WA SERIKALI TATU1. MUUNDO WA SERIKALI MBILI UMESHINDWA KUTEKELEZEKA (A) TANGU KUSAINIWA KWA HATI ZA MAKUBALIANO YA MUUNGANO, HATI HIZO HAZIJAHESHIMIWA NA MAMLAKA ZA...
View ArticleHenry Kilewo na wenzake wafutiwa mashitaka ya ugaidi..
Taarifa ambazo Blog hii imezipata muda huu kutoka Tabora zinaeleza kuwa Mahakama Kuu Kanda ya Tabora imetoa maamuzi yake juu ya shauri la kesi ya ugaidi kwa washtakiwa, Henry John Kileo, Evodius...
View ArticleJaji Mutungi ateuliwa kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, achukua...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mheshimiwa Jaji Francis S.K. Mutungi kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa.Taarifa iliyotolewa Dar Es Salaam leo, Jumatatu,...
View ArticleYule Mkenya wa Kova afutiwa kesi ya kumteka Dr Ulimboka lakini ashtakiwa kwa...
Dar es Salaam.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia mashtaka raia wa Kenya, Joshua Mulundi kuhusu kumteka na kumjeruhi Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania, Dk Steven Ulimboka na sasa...
View ArticleKamati ya Kulinda Waandishi Afrika yatoa Ripoti inayoikosoa Tanzania kuhusu...
Nairobi.Serikali ya Tanzania imekosolewa na kutiliwa shaka kuhusu uwazi na demokrasia kutokana na kubana uhuru wa habari na kuvifuatilia baadhi ya vyombo vya habari.Hiyo imo katika ripoti...
View ArticleMoto mkubwa wateketeza uwanja wa Jomo Kenyata International Airport
Safari za ndege za ndani ya nchi nchini Kenya zinatarajiwa kurejea kama kawaida baadaye leo baada ya moto mkubwa kuteketeza sehemu ya uwanja rasmi wa kimataifa wa ndege nchini humo JKIA. Msemaji wa...
View ArticleMauaji Tena: Erasto Msuya, mfanyabiashara mkubwa wa madini Mirerani auwawa...
Miji ya Arusha na Moshi imezizima kwa simanzi tena baada ya kutokea kwa kifo cha mfanyabiashara wa madini Mererani aliyeuwawa kwa kupigwa risasi mchana wa leo. Mfanyabiashara huyo maarufu kama Erasto...
View ArticleBAADHI YA MATUKIO KATIKA VIWANJA VYA NANE NANE ARUSHA, KAULI MBIU IKIWA...
The CEO wa Asili yetu Blog na Dj King Davie wa Radio 5 The CEO of Arusha Publicity and the Director of WaZaLeNdo 25 BloGCEO wa Asili Yetu Blog akizungumza na meneja wa TCRA kanda ya kaskazini Bi. Eng....
View ArticleBloga wa Arusha Wakutana Kuanzisha Umoja wao
Ikiwa teknolojia ya mawasiliano kwa njia ya mtandano inazidi kukua na kupata umaarufu miongoni wa watanzania, wadau wa uliongo huo kwa Mkoa wa Arusha wameamua kuanzisha umoja wao ambao utalenga...
View ArticleSAKATA LA SHEIK PONDA KUJERUHIWA NA KINACHOHISIWA KUWA RISASI MKOANI...
Shekh Ponda akisisistiza jambo mbele ya waumini wa Dini ya Kiislamu kwenye Kongamano , Augosti 10, mwaka huu mjini Morogoro KATIBU wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda,alijikuta...
View ArticleMAKACHERO WAHAHA KUWAINGIZA DK. SLAA, MBOWE MATATANI, WAKWAMA
IMEBAINIKA kuwa baadhi ya maofisa wa polisi na makachero wao wamekuwa wanatumia vibaya majina ya viongozi wakuu wa serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama kisingizio cha kupika kesi za ugaidi dhidi...
View ArticleLema aanza ziara maalumu kufuatilia shughuli za maendeleo Jimboni kwake
Pichani ni mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chadema, Mh Godbless Lema akihutubia mamia ya wakazi wa Kata ya Baraa katika mkutano wake leo jioni kufuatlia shughuli za maendeleo Jimboni kwake, hasa ujenzi...
View Article