HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB),...
HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA DKT. PHILIP I. MPANGO (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2017/1808 Juni, 2017 Dodoma I....
View ArticleVICHWA VYA HABARI MAGAZETI YA LEO IJUMAA JUNE 9, 2017
Sura hizi za Magazeti ya leo kurasa za mbele yamekujiakwa Hisani ya MICHUZI BLOG
View ArticleYALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 44, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA JANA...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza kikao cha 44 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 08, 2017.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –(TAMISEMI)...
View ArticleTASWIRA: NAMNA HAYATI DK NDESAMBURO ALIVYOAGWA KANISANI KABLA YA KUZIKWA...
Gari lililobeba mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema mkoani Kilimanjaro, Phillemon Ndesamburo likielekea kwenye kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kiboriloni kwa ajili ya...
View ArticleRC ANNA MNGWIRA ATEMBELEA FAMILIA YA DKT NDESAMBURO,AZUNGUMZA NA WANACCM...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mngwira akizungumza na baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi alipotembelea ofisi za chama hicho kujitamburisha .kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi...
View ArticleMSANII IRENE VEDA AULA UBALOZI WA UTALII KUPITIA BODI YA TAIFA YA UTALII...
Mkurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Utalii (TTB) Bi. Devotha Mdachi(kulia) Akimkabidhi mkataba Balozi wa ukarimu 'Goodwill Ambassador' wa TTB Irene Veda mara baada ya kusaini.Mkurugenzi wa Bodi ya Taifa ya...
View ArticleDC MUHEZA AFUTURISHA WAKAZI WA WILAYA HIYO
DC MUHEZA AFUTURISHA WAKAZI WA WILAYA HIYO. Wageni wilayani Muheza Mkoani Tanga wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mhandisi,Hajat Mwanasha Tumbo  Wageni wilayani Muheza Mkoani...
View ArticleMANDHARI TOFAUTI UNAZO KUTANA NAZO PINDI UNAPO PANDA MLIMA KILIMANJARO
Uoto wa asili wa aina mbalimbali unavyoonekana wakati unapoanza safari ya kuelekea kituo cha Kibo ukitokea kituo cha Horombo. Mawe yenye michoro mithili ya mistari ya Pundamilia yanaonekana katika eneo...
View ArticleMeya wa Jiji la Arusha Kalisi Lazaro Ampa Siku Saba RC Gambo Amuomne Radhi
Mstahiki Meya wa Jijila Arusha, amabye pia ni Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha na Diwani wa Kata ya Sokoni I Mh Kalisti Bukhay LazaroMKUU wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ametakiwa kujitathimini iwapo...
View ArticleOrodha ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato Cha Tano na Vyuo Vya...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi) George Simbachawene ametoa idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano na vyuo vya ufundi kwa mwaka 2017 huku jumla ya wanafunzi...
View ArticleNENO LA SHUKRANI KUTOKA KWA YERICKO NYERERE
Yericko NyerereNeno la shukrani kwa Watanzania.Makamanda, ndugu jamaa na marafiki,Kwa heshima zote naomba niwashukuru kwa kuwa nami katika kipindi kigumu nilichopitiana ninachoendelea kupitia hadi...
View ArticleMANISPAA YA UBUNGO YATOA KAZI ZA BILLION 4 KWA WAKANDARASI
MANISPAA YA UBUNGO YATOA KAZI ZA BILLION 4 KWA WAKANDARASILeo tarehe 9 mwezi wa Sita, Mstahiki meya wa halmshauri ya manispaa ya Ubungo Mh. BONIFACE JACOBAmengia mikataba ya kazi mbali mbali na...
View ArticleWANAHARAKATI 42 KATI YA 50 WAFIKA KILELE CHA UHURU,MLIMA KILIMANJARO KWA...
Wanaharakati walioshiriki changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro wakiimba na kucheza wakati wakishuka kutoka Mlima Kilimanjaro. Timu ya Wanaharakati 86 kutoka taasisi na kampuni mbalimbali...
View ArticleUpinzani waja na bajeti ya Sh29.9 trilioni
Kambi Rasmi ya Upinzani leo inawasilisha bajeti mbadala ya Sh29.9 trilioni kwa mwaka 2017/18, ikiwa ni pungufu ya Sh1.8 trilioni kulinganisha na bajeti ya Waziri Philip Mpango, huku ikiibua vyanzo sita...
View ArticleHOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI WIZARA YA FEDHA NA...
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO, MHESHIMIWA HALIMA JAMES MDEE (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANIÂ Â KUHUSU HALI YA...
View ArticleDC BYAKANWA ASIMAMIA ZOEZI LA UONDOSHAJI WA MIUNDO MBINU YA UMWAGILIAJI...
Mkuu wa Wilaya ya Hai ,Gelasius Byakanwa akiwa na kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Hai katika lango la kuingilia katika shamba la Kilimo cha Kisasa la Mboga Mboga la Kilimanjaro Vegees Ltd...
View ArticleFREEMAN MBOWE AELEZEA ALIVYOPOKEA TAARIFA ZA MKUU WA WILAYA YA HAI GELSIUS...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman MboweMkuu wa wilaya ya Hai,akiwa na wajumbe wa kamati ya ulinzi na Usalama ya wilaya Hai pamoja na askari Mgambo (hawaonekani pichani) akiondoa miundombinu katika shamba...
View ArticleUWT YAUNGA MKONO UAMUZI YA RAIS KUHUSU MAKANIKIA NA MIKATABA YA MADINI.
UWT YAUNGA MKONO UAMUZI YA RAIS KUHUSU MAKANIKIA NA MIKATABA YA MADINI.Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) inaunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Dkt John Pombe Magufuli na kupongeza jitihada...
View ArticleMadiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, wamemsifu Rais Dk John Magufuli...
Picha ya Maktaba: Dwani wa Kata ya Kimandolu, Rayson Ngowi (kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Mtaa wa Tindigani, Mh MosesMadiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, wamemsifu Rais Dk John Magufuli kwa...
View Article