Quantcast
Channel: PolitiksiFactTrack ''ARUSHA255''
Browsing all 1899 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VANESSA, DUMISHA HERI WAENDELEA KUSOTA POLISI KWA TUHUMA ZA DAWA ZA KULEVYA

Kamanda Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishina wa Jeshi la Polisi (CP), Simon Sirro akizungumza na waandishi wa habari juu operesheni mbalimbali zilizofanyika na jeshi hilo kwa wiki moja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHYROSE AWASILISHA MUSWADA BINAFSI KUSAIDIA WENYE ULEMAVU

Muswada binafsi wenye lengo la kutungwa kwa sheria ya kuwalinda albino umewasilishwa kwenye kikao kinachoendelea mjini Kigali, Rwanda. Muswada huo umewasilishwa bungeni na Mheshimiwa Shyrose Bhanji,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WA JAMII YA WAFUGAJI LOLIONDO WALIPO IZUIA KAMATI YA BUNGE YA...

Wananchi wa jamii ya wafugaji katika kijiji cha Mbukkeni ,kata ya Harashi wakiwa wamezuia msafara wa kamai ya kudumu ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Utalii iliyofanya ziara kutembelea Pori tengefu la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA WA KAZI MOUNTI MERU RICKERNEST BAND WAAIDI MAKUBWA NDANI YA JIJI LA...

  vijana wa kazi kaskazini Arusha wakitoa burudani ya nguvu ndani ya Triple A sport bar   bendi  town ijulikanayo kama  Mounti Meru Rickernest    waimbaji wa bandi ya  Rickinest wakiwa wanaserebuka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJENGONI BANDI KUFANYA UZINDUZI RASMI MARCH 3 KATIKA UKUMBI WA TRIPLE A SPORT...

 wanamziki wa bendi ya mjengoni wakiwa wanafanya mambo ndani ya jukwaa la kiwanja cha nyumbani mjengoni KlabuRais wa bendi ya mjengono Robert Mukongya (Digital) akiwa anaimba ndani ya jukwaa  Habari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA RASMI BAADA YA SEMINA ELEKEZI YA CCM KWA WATENDAJI, WENYEKITI NA...

EMAIL THISBLOGTHIS!SHARE TO TWITTERSHARE TO FACEBOOK

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU YA CHAMWINO...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo Machi 15, 2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATENDAJI WA SERIKALI WAAGIZWA KUWALINDA WAWEKEZAJI WAZAWA

Serikali imewataka viongozi wa kisiasa pamoja na watendaji wa serikali kutotumia madaraka yao vibaya kuwanyanyasa na kuwasumbua wawekezaji wazawa waliowekeza ndani ya nchi. Aidha viongozi hao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kauli ya Godbless Lema kuhusu wabunge CCM waliokwenda kumsalimia gerezani...

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ameibuka na kueleza kushangazwa na kauli ya Rais Dk. John Magufuli kwamba wabunge wa CCM waliotaka kwenda kumwona gerezani walikuwa wasaliti.Lema alisema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA JIMBO LA TANGA AMUANGUKIA WAZIRI MWIJAGE

MBUNGE WA JIMBO LA TANGA AMUANGUKIA WAZIRI MWIJAGE Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza na waandishi wa Habari ambao hawapo pichani kuhusiana na suala hilo Mkurugenzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANITE ONE WATOA MILIONI 20 KWA SACCOS YA MADALALI WANAWAKE WA MADINI ARUSHA

Madini ya Tanzanite ambayo yanapatikana eneo la mererani pekee duniani yakiwa tayari yamekatwa na kusanifiwa sasa yatauzwa kimataifa katika kituo kitakachonjengwa ArushaMtaalamu wa kukata madini Adam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEKTA YA USINDIKAJI, CHACHU YA MAENDELEO YA VIWANDA - ESRF

Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF) kwa kushirikiana na CUTS International Geneva kupitia ufadhili wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo Sweden (SIDA), wamezindua Ripoti ambayo inaelezea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mohammed Dewji ashinda tuzo ya Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) Bora Afrika 2017

Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group), Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya Afisa Mtendaji Mkuu Bora wa mwaka 2017 inayotolewa na Jukwaa la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA BODI YA USAJILI WA WABUNIFU MAJENGO NA WAKADIRIAJI MAJENZI...

Mwenyekiti wa Bodi Mbunifu Majengo Dkt. Ambene Mwakyusa, akizungumza na wanahabari nje ya ukumbi wa mkutano wa   mashauriano kati ya Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi,Jeshi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE MAMBO NJE, ULINZI NA USALAMA YASISITIZA SERIKALI...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Mwigulu Nchemba akiwakaribisha wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Mambo Nje, Ulinzi na Usalama walipowasili NIDA kutembelea na kukagua maendelea ya mradi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BANDARINI NA KUZUIA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar es Salaam kufatilia maagizo yake ya kudhibiti vitendo vya udanganyifu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU YA TAIFA YA RIADHA YAKABIDHIWA BENDERA ,YAELEKEA UGANDA NA MATUMAINI YA...

Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) Anthony Mtaka akikabidhi Bendera kwa manahodha wa timu ya taifa ya riadha kwa upande wa wanaume,Fabian Joseph (kushoto) na Magdalena Shauri (kulia)Wengine ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA NGUO MAURITIUS

 Waziri Mkuu Kasim Majaliwa akitazama mitambo ya kiwanda cha kuengeneza nyuzi za pamba wakati alipotembelea kiwanda cha nguo cha Compagne Mauricienne De Textile Ltee kilichopo nje kidogo ya mji wa Port...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPEKUZI VIDEO: Rais Magufuli Atoa ONYO Kwa Wamiliki wa Vyombo vya Habari...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John P. Magufuli, leo amewaapisha Dr Harrison Mwakyembe na Prof Palamagamba Kabudi pamoja na mabalozi kadhaa Ikulu Jijini Dar.Mwakyembe ameapishwa kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tundu Lissu: Jeshi la polisi lirudishe simu yangu, liache kuingilia...

Wandugu wapendwa,Nimetoka Kituo Kikuu cha Polisi Dar sasa hivi (jana). Polisi wamekataa kunirudishia simu yangu waliyoinyang'anya kwa nguvu tarehe 6 Machi, siku waliyonikamata nikiwa mahakamani...

View Article
Browsing all 1899 articles
Browse latest View live