WAZIRI SIMBACHAWENE: “RUKSA WENYEVITI SERIKALI ZA MITAA KUTUMIA MIHURI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. George Boniphace Simbachawene akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kusitishwa kwa muda kwa waraka uliotoa muungozo wa matumizi ya Mihuri kwa Wenyeviti...
View ArticleSERIKALI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA UTOAJI WA TAARIFA...
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na uongozi na baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya IPP Media yenye vituo vya Televisheni vya ITV, EATV na Capital Tv...
View ArticleMSIMU WA 15 WA MASHINDANO YA KIMATAIFA YA MBIO ZA KILIMANJARO PREMIUM LAGER...
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Kippi Warioba akizungumza wakati wa uzinduzi wa msimu wa 15 wa mbio za kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2017 ,uzinduzi uliofanyika Kibo Palace Home mjini Moshi....
View ArticleMADIWANI WA MANISPAA YA MOSHI WATEMBELEA OFISI ZA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA...
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce Msiru akizungumza wakati wa ukaribisho wa Madiwani wa Halmashauri ya manispaa ya Moshi walipotembelea ofisi za mamlaka...
View ArticleMADIWANI WA MANISPAA YA MOSHI WATEMBELEA OFISI ZA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA...
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce Msiru akizungumza wakati wa ukaribisho wa Madiwani wa Halmashauri ya manispaa ya Moshi walipotembelea ofisi za mamlaka...
View ArticleTanzania kuanza kutumia mfumo wa Dirisha Moja la Huduma (Electronic Single...
Tanzania kuanza kutumia mfumo wa Dirisha Moja la Huduma (Electronic Single Window System) Kaimu Kamishna Mkuu TRA, Mary Maganga.Katika kuhakikisha inaboresha huduma kwa wafanyabiashara ambao wanaingiza...
View ArticleKINANA AKUTANA NA BALOZI WA CHINA JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Katibu Mkuu wa CCM, Abdurahman Kinana akimkaribisha Balozi wa China hapa nchini, Dk. Lu Young, alipofika katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo....
View ArticleKesi nyingine ya Lema na Mke wake Yaahirishwa mpaka februari 2, 2017
Na.Vero Ignatus ArushaMbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na mkewe Neema Lema wamefikishwa katoka mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Arusha kusomewa mashtaka yanayowakibili katika kesi namba 351 ambapo...
View ArticleHALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YAOKOA MILIONI 300 KWA KUJENGA SHULE WENYEWE...
Na Woinde Shizza,ArushaHalmashauri ya jiji la Arusha imeokoa zaidi ya shilingi milioni mia tatusitini na nne zilizokuwa zitumike kwa ajili ya kuwapa wakandarasi kwaajili ya kujenga madarasa baada...
View ArticlePicha 5: Maandalizi ya Kuapishwa Donald Trump
Maandalizi ya kuapishwa Rais mteule Donald Trump yakiendelea siku mbili zilizopita tayari kwa kuapishwa siku ya kesho Ijumaa Januari 20, 2017.Mafundi wakiweka mambo sawa.Wapiga picha za kuganda na...
View ArticleWAKUU WA MASHIRIKA YA UMEME KUTOKA NCHI KUMI ZA EASTERN AFRICA WAKUTANA...
Na Woinde Shizza,ArushaWakuu wa mashirika umeme kutoka katika nchi kumi za Afrika zinazozalishaumeme(Eastern Africa Power pool(EAPP) zimekutana jijini arushakwa malengo ya kujadili mfumo wa...
View ArticleWAFANYAKAZI HOTELI YA PARROT ARUSHA WALILIA MALIMBIKIZO YA MISHAHARA
Baadhi yawafanyakazi wa hoteli ya kitalii ya Parrot iliyopokatikati ya Jiji la Arusha wameulalamikia uongozi wa hoteli hiyokuwatelekeza jijini hapa na kushindwa kuwalipa malimbikizo ya mishaharayao ya...
View ArticleZIARA YA KAMATI YA BUNGE: MGODI WA BUZWAGI KUFUNGWA DISEMA MWAKA HUU
Muonekano wa Mgodi wa Buzwagi katika Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.Na Rhoda James – Kahama.Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa ameuongoza ujumbe wa kamati ya kudumu...
View ArticleSEMINA YA MAFUNZO YA KARATE KIMATAIFA YAFANYIKA JIJINI ARUSHA
Wakufunzi wanaoingia kufanya mtihani wa kupandishwa madaraja wakiwa katika picha ya pamoja wakisikiliza maelekeo kabla ya kuanza kufanya mtihani huo.Picha na Vero Ignatus BlogWakwanza kushoto ni Master...
View ArticleHalmashauri ya Jiji la Tanga yashauriwa kuandaa Miradi inayoendana na...
Halmashauri ya Jiji la Tanga yashuriwa kuandaa Miradi inayoendana na Mahitaji ya WananchiNa Adili Mhina, Tanga.Halmashauri ya Jiji la Tanga imeshauriwa kuandaa miradi ya kupima na kuuza viwanja...
View ArticleMRISHO GAMBO AONYA WAWEKEZAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO NGORONGORO
Na Woinde Shizza,Arusha.Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema kuwa serikali haitasitakuwachukulia hatua wawekezaji wanaochochea migogoro katika wilaya yaNgorongoro na kusababisha uvunjifu wa...
View ArticleWAFANYABIASHARA WAILALAMIKIA HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA ,WAPINGA NOTISI...
Na Woinde Shizza,ArushaWAFANYABIASHARA wa maduka jijini Arusha,wameilalamikia halmashaurihiyo ,wakipinga notisi ya miezi mitatu waliopewa ,inayowataka kuondokakatika maduka hayo,ifikapo Machi 30,mwaka...
View ArticleTAASISI YA AGRI-BUSNESS MEDIA INNITIATIVE YA JIJINI MWANZA YAWAHIMIZA VIJANA...
Mkurugenzi wa Taasisi ya Agri-Busness Media Innitiative In Tanzania (AMI-TZ) ya Jijini Mwanza, Deborah Mallaba, akikagua shamba la hekari mbili la taasisi hiyo ambalo lina mkusanyiko wa matunda na...
View ArticleYALIYOJIRI KWENYE MKUTANO MKUU MAALUM WA CHADEMA KANDA YA SERENGETI
Ijumaa Januari 20,2017 kumefanyika mkutano mkuu maalumu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Serengeti inayojumuisha mikoa ya Shinyanga,Mara na Simiyu umefanyika katika ukumbi wa...
View ArticleTANZANIA NA UTURUKI SASAINI MIKATABA TISA YA MAENDELEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya mazungumzo na mgeni wake Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan (kulia) Ikulu leo...
View Article