Quantcast
Channel: PolitiksiFactTrack ''ARUSHA255''
Browsing all 1899 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA MKOANI MOROGORO

 Mgombea urais kupitia vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Mh Edward Lowassa amesema hakuna sababu ya wamiliki wa viwanda vya sukari kuendelea kuwaumiza wakulima na endapo atapata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA MKOANI MOROGORO

 Mgombea urais kupitia vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Mh Edward Lowassa amesema hakuna sababu ya wamiliki wa viwanda vya sukari kuendelea kuwaumiza wakulima na endapo atapata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mgombea mwenza CCM asema ni Mwiko Serikali Kuwakopa Wakulima wa Korosho

Mgombea wa ubunge Jimbo la Mtama na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye akizungumza na wapiga kura wake katika mkutano wa kampeni za mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA: ZIARA YA KAMPENI YA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA MKOANI SHINYANGA

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiteta jambo na Mgombea Ubunge wa Ukawa kupitia CHADEMA, Mh. James Lembeli, katika Mkutano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA DUNI HAJI AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI MKOANI RUVUMA

 Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akisalimiana na mgombea udiwani wa Ukawa kata ya Tingi wilaya ya Nyasa, Bosco Mapunda alipowasili katika kijiji cha Tingi mkoani Ruvuma kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA KILELE WA DUNIA KUHUSU CHAKULA NA LISHE WAFUNGULIWA ARUSHA, RAIS...

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda akihutubia kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika Ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNESCO, TCRA YATAKA WADAU WA HABARI KATIKA MATUMIZI YA INTANETI KUZINGATIA...

Mwenyekiti wa National Governance Internet Forum ambaye pia ni Rais wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Kenneth Simbaya akiwakaribisha wadau wa mitandao na watumiaji wa intaneti kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA TATHIMINI YA KAMPENI ZA UCHAGUZI KWA WAGOMBEA KWA TIKETI YA CCM

MWENENDO WA KAMPENI ZA CCMHadi jana, tarehe 16 September 2015, Mgombea Urais wa CCM, Dr. John Pombe Magufuli, alikuwa amekwishafanya kampeni katika mikoa 12 na Majimbo 94. Amekwishafanya mikutano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI WILAYA YA...

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wakazi wa mji wa kaliua alipokuwa akiwahutubia wakazi hao katika uwanja wa Kolimba,kwenye mkutano wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UFAHAMU VYEMA MOYO WAKO "CARDIAC ARRHYTHMIA"

‘Cardiac Arrhythmia’ ni pale mtu anapokuwa na mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida au yanayodunda sana. Mwili una mfumo asili wa umeme unaosaidia moyo kufanya kazi. Mfumo huu husababisha moyo kutanuka na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete azindua miradi ya Maendeleo Kigoma, awaaga wananchi

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi wakati wa hafla ya uzinduzi mradi wa nyumba za bei nafuu NHC eneo la Mlole mjini Kigoma leo.Rais Kikwete yupo mkoani Kigoma kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATARI: BEKI MANCHESTER UNITED LUKE SHAW AVUNJIKA MGUU UWANJANI TIMU YAKE...

KOCHA wa Manchester United, Louis van Gaal amesema kwamba beki wake Luke Shaw atakuwa nje mwa muda usiopungua miezi sita baada ya kuumia jana katiia mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji PSV...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI WILAYA YA...

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wakazi wa mji wa kaliua alipokuwa akiwahutubia wakazi hao katika uwanja wa Kolimba,kwenye mkutano wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Lowassa: Nipeni bakora niwatandike mafisadi.

Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uteuzi wa JK wa Makamishna Uchaguzi wazua Mjadala, Wadau Wahoji Kwanini Sasa!?

Rais Jakaya Kikwete.Uteuzi wa makamishna wawili wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete ikiwa ni chini ya siku 40 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu Oktoba 25, mwaka huu,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAKOTIDE WA CHADEMA NA WENZAKE WAPANDISHWA KIZIMBANI NA KUACHIWA KWA...

Mwanakotide na wanachama wenzake watatu wa CHADEMA walipandishwa kizimbani jana Mjini Dodoma katika Mahakama ya Wilaya na kusomewa mshitaka nane na mwansheria wa Serikali  Beatrice Nsana ya shambulio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UGEUGEU NA UPAPARA WA KUPATA FEDHA UNAKWAMISHA VIJANA

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Dk. Tausi Kida akiingia katika ukumbi wa mkutano hoteli ya Double Tree by Hilton kwa ajili ya warsha ya vijana na ajira...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MO DEWJI ANYAKUA TUZO YA MWAKA YA MFANYABIASHARA ANAYESAIDIA ZAIDI JAMII

Mkurugenzi Mtendaji wa CNBC Africa, Roberta Naicker akimkabidhi tuzo ya '2015 Philanthropist of the year-East Africa' Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya MeTL Group, Mohammed Dewji katika sherehe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI KWENYE MAPOKEZI YA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA BUKOBA MJINI NA JIMBO...

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na mmoja wa wadau wa Mabadiliko, Prof. Azaveli Lwaitama, katika Mkutano wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA...

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa na Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za utambumbulisho (White House). Washington DC siku ya Alhamisi...

View Article
Browsing all 1899 articles
Browse latest View live