Taswira: Ziara ya Msajili wa Vyama Jaji Mutungi Ofisi za CHADEMA Kanda ya...
Msajili wa Vyama Vya Siasa Nchini,Mhe Jaji Francis Mutungi leo ametembelea Ofisi za CHADEMA Mkoa wa Arusha na Chadema Kanda Ya Kaskazini na kukutana na Viongozi wa ngazi ya Wilaya,Mkoa na Kanda.Jaji...
View ArticleDk. Slaa apewa uchifu wa Dar kuikomboa Tanzania
Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wamempa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa, majukumu ya kuikomboa nchi kwa mara ya pili kama alivyofanya mwalimu Julius...
View ArticlePICHA: SUMMIT YA UKAWA AT WORK
Viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wakisikiliza hoja za wabunge wa vyama hivyo walioalikwa katika kikao cha Viongozi Wakuu (Summit) kinachokutana leo kupanga...
View ArticleUKAWA WASHIRIKI FUTARI YA PAMOJA
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Willibroad Slaa akishiriki futari iliyoandaliwa na Ofisi ya Kambi ya Upinzani Bungeni wakati wa kikao cha Viongozi Wakuu wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na wabunge...
View ArticleNEC Yatangaza Majimbo Mapya 26 ya Uchaguzi, Haya Hapa
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeweka hadharani majimbo mapya 26 ya uchaguzi baada ya kugawanywa kutokana na ukubwa.Katika mgawanyo huo, Jijini Dar es Salaam ni majimbo mawili pekee ndio...
View ArticleTASWIRA KUTOKA ARUSHA: MH LEMA AKIZINDUA MAFUNZO MAALUMU KWA VIJANA NCHINI...
Mbunge wa Arusha Mjini Mhe Godbless Lema akifungua mafunzo kwa mashirika mbalimbali kutoka mikoa yote Tanzania yanayofanya na kutekeleza miradi kwa vijana ya afya ya uzazi na masuala ya UKIMWI - Arusha...
View ArticleCUF: Hatujajiengua UKAWA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU CUF NA UKAWATAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 15 Julai 2015 CUF NA UKAWA Waheshimiwa waandishi wa HabariChama cha wananchi CUF tukiwa sehemu ya UKAWA tunaendelea na...
View ArticleBinti wa Michuzi Ajitoa Kimasomaso; Achukua Form ya Ubunge wa Viti Maalum
Zahara Michuzi alipowasili katika ofisi za CCM mkoa wa Tabora ili kuchukua form ya kugombea viti maalum kwa vijana.Zahara Michuzi ni binti wa Issa Michuzi blogger na mpiga picha hodari wa rais wa...
View ArticleMTANGAZAJI WA RADIO FREE AFRICA, WILLIAM BUNDALA ATANGAZA RASMI KUWANIA...
Mwandishi wa habari na mtangazaji wa Radio Free Africa, William Bundala maarufu kwa jina la “kijukuu cha bibi k” katika pozi.Mwandishi wa habari na mtangazaji wa Radio Free Africa, William Bundala...
View ArticlePresident Kikwete chairs the UN Meeting on Health Crises in Geneva
The Chaiperson of the UN High level Panel on The global Response to Health Crises President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete during a meeting in Geneva today other panelists from second left Ms.Joy...
View Article[AUDIOS] Hotuba mbalimbali kwenye mkutano mkuu wa CCM
Hotuba Ya Dr Ali Mohamed Shein kukubali kuwa mgombea wa CCM Zanzibar 2015 Hotuba Ya Dr Asha - Rose Migiro kukubali yatokeo ya mkutano Mkuu wa CCM 2015 Hotuba Ya Balozi Amina Salum Ali kukubali matokeo...
View ArticleKUELEKEA OKTOBA 25: NOEL OLEVAROYA AJITOKEZA KUPIMANA UBAVU NA LEMA ARUSHA MJINI
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA Wilaya ya Arusha, Ndg Noel Olevaroya akikabidhiwa fomu za kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge na afisa wa Chadema Arusha Mjini Ng Bahati Kitumbwizi....
View ArticleWanachama 30 wa CCM Vyuo Vikuu Wajiunga Chadema Baada ya Kukerwa na Uteuzi wa...
Jumla ya Vijana 30 kutola umoja wa vijana wa vyuo vikuu CCM wamerudisha kadi zao za CCM kwenye Ofisi ya Chadema Mwanayamala Dar es Salaam kwa kile walichodai mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM...
View ArticleHABARI PICHA-UZINDUZI WA KAMPENI YA SHAMIRI YA KUSOMESHA WATOTO 112
Meneja Mahusiano shirika la The Foundation For Tommorow , Anton Asukile akifafanua jambo juu ya Kampeni ya SHAMIRI inayolengakuchangisha milioni 50 kwa ajili ya kusaidia watoto wanaoishi kwenye...
View ArticleAjali mbaya Kwa Sadala, Watu Kadhaa Wapoteza Maisha
Ajali mbaya imetokea majira ya asubuhi hii leo katika daraja la kwa Sadala njia ya Moshi -Arusha ambapo inaelezwa kuwa watu kadhaa wamekufa papohapo na majeruhi hali zao sio nzuriAjali imehusisha Fuso...
View ArticleLOWASSA AKARIBISHWA CHADEMA
Mwanachama wa CHADEMA Monduli mjini akiwa ambeba bango lenye ujumbeunaoashiria kumkaribisha Edward Lowassa katika chama hicho,jana katikamkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika Monduli Mjini....
View ArticleDORIS CORNEL GILLIUS “DOREEN DON” ANAWANIA UBUNGE VITI MAALUMU CHADEMA JIMBO...
BLOGU HII IMEANZISHA MFULULIZO WA UTAMBULISHO WA VIJANA WANASIASA WA MKOA WA ARUSHA NA MIKOA JIRANI ILI UMMA UWEZE KUWAFAHAMU WASIFU, UWEZO NA UZOEFU WAO KATIKA MASWALA YA UONGOZI NA SIASA ZA TANZANIA....
View ArticleNIGERIAN TONY ELUMELU ENTREPRENEURSHIP PROGRAMME (TEEP) TO TRANSFORM TANZANIA...
The Managing Director of UBA Tanzania Mr. Demola Ogunfeyimi addresses the Tony Elumelu Foundation Entrepreneurship Programme (TEEP) Entrepreneurs heading for the training in Ota Nigeria from Tanzania...
View ArticleTHE STARS BAND YAZINDULIWA RASMI SIKU YA EID MOSI NDANI YA MZALENDO PUB HUKU...
Bendi mpya ya muziki wa dansi ijulikanayo kama The Stars Band iliyo chini ya Aneth Kushaba imezinduliwa rasmi siku Jumamosi ya Julai 18, siku ya Idd-Mosi ndani ya kiota cha Mzalendo Pub, Kijitonyama...
View ArticleJERRY SLAA AREJESHA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA
Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ya CCM taifa, Jerry William Silaa akionyesha fomu aliyojaza kwa ajili ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga katika uchaguzi mkuu utakaofanyika...
View Article