RAIS KIKWETE KATIKA SIKU YA PILI YA ZIARA YAKE RASMI NCHINI ALGERIA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelaziz Bouteflika katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Algiers Jumapili May 10, 2015 katika siku ya...
View ArticleLADY JAYDEE - GIVE ME LOVE FT. MAZET & DJ MAPHORISA (OFFICIAL VIDEO HD)
Finally Lady Jaydee's Give Me Love music video is out. The video was shot and directed by Nicky Campos on location in Johannesburg, South Africa. The Song was produced by Uhuru and features Mazet &...
View ArticleVIONGOZI WASHIRIKI KWA WINGI KUTOA HESHIMA YA MWISHO KWA MWILI WA JOHN NYERERE
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk Wilbrod Slaa alipozuru nyumbani kwa wafiwa kuwafariji. Picha za Dk Slaa Na: Chadema Blog Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa...
View ArticleVIJANA MARAFIKI WA LOWASA WAPANDISHA UJUMBE KWA KIKWETE JUU YA KILELE CHA...
Kundi la marafiki wa Lowasa kutoka kana ya Kaskazini wakiwa katika kituo cha Kibo ,wakiwa katika maandalizi ya kuanza kwenda kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro.Sehemu ya juu ya mlima Kilimanjaro ikiwa...
View ArticleLOWASSA KUMUWAKILISHA MAKAMU WA RAIS DKT MOHAMMED GHARIB BILAL KWENYE...
Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa.***************Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapenda kuutaarifu umma kuwa shughuli ya Harambee ya kuchangia ujenzi wa Msikiti wa Patandi...
View ArticleHotoba Rasmi ya Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mh Freeman Mbowe Ofisi ya Waziri...
HOTUBA YA KIONGOZI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHE.FREEMAN AIKAELI MBOWE (MB) AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KATIKA OFISI YA WAZIRI MKUU KWA MWAKA WA FEDHA...
View ArticleHukumu Kesi ya Mbowe Hai kutolewa Mei 18, 2015
Mbunge wa Hai ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mh Freeman Mbowe akizungumza na viongozi wa Chadema nje ya ofisi za Mahakama Hai baada ya kesi...
View ArticleCCM ARUSHA YAWAPA SOMO WATIA NIA WAKE ARUSHA MJINI KUTOCHAFUANA
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) wilayani Arusha,Feruz Bano akimkabidhi kitabu cha kanuni za uchaguzi wa CCM mgombea aliyetangaza nia ya kuwania ubunge katika jimbo la Arusha mjini,Kim Fute jana...
View ArticleWAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR, MH OMAR YUSUPH MZEE AWASILISHA BAJETI YA MWAKA 2015/16
Waziri wa Fedha akiinua Begi lenye Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakati akiingia katika ukumbi wa mkutano kuwasilisha Hutuba ya Bajeti leo jioni katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi...
View ArticleRais Nkurunzinza Wa Burundi "Apinduliwa", Wakuu EAC walaani mapinduzi hayo...
Nchini Burundi, aliyekua mkuu wa majeshi Jenerali Godefroid Niyombare ametangaza Jumatano Mei 13 kuwa rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza amepinduliwa madarakani.Meja Generali Niyombareh alisema...
View ArticleWaziri wa Ulinzi Korea Kaskazini Auawa Kwa bunduki ya Kutungulia Ndege...
Hyon Yong-Chol aliyeuawa kwa kusinzia wakati wa hafla ya kijeshi.WAZIRI wa Ulinzi wa Korea ya Kaskazini, Hyon Yong-Chol, ameuawa kwa kupigwa na bunduki ya kutungulia ndege aina ya ZPU-4 kwa kusinzia...
View ArticleTASWIRA: MAZISHI YA DIWANI VITI MAALUM CCM ARUSHA
Baadhi ya Mdiwani wa jiji la Arusha wakiongozwa na Meya wa jiji hilo Gaudence Lyimo kulia ,wakiwa wamebeba jeneza la Belina Kabuje ambaye alikuwa diwani wa viti maalumu jijini Arusha kuelekea katika...
View ArticleTASWIRA: NASSARI NA MANGUNGU WAKIFURAHIA JAMBO NA PM PINDA DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge, Joshua Nassari wa Arumeru Mashariki (kushoto) na Murtaza Mangungu wa Kilwa Kaskazini kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Kei 12, 2015. Wapili kulia...
View ArticleACT yaomba kujiunga UKAWA
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Anna Mgwira (pichani) amesema chama hicho hakina matatizo na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na hata sasa kinasubiri majibu ya barua yao waliyoituma kwa umoja...
View ArticleUTARATIBU WA UTEUZI WA WAGOMBEA NDANI YA CHADEMA KWA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza utaratibu wa uteuzi wa wagombea wake watakaokiwakilisha chama hicho katika Uchaguzi Mkuu, Oktoba mwaka huu. Aidha, kupitia mkutano na waandishi...
View ArticleLowassa Achangisha Mil 234 katika Harambee ya Msikiti wa Patandi Tengeru leo,...
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa amechangisha jumla ya shilingi millioni 234 katika Harambee ya kuchangia ujenzi wa Msikiti wa Patandi uliopo wilaya ya Arumeru Mkoani...
View ArticleMATUKIO YA AWALI MKUTANO MKUU WA BAWACHA ARUSHA MJINI LEO – KINA MAMA WAAHIDI...
Baraza la Wanawake CHADEMA Wilaya ya Arusha Mjini hii leo limefanya Mkutano Mkuu wa Baraza hilo Wilaya katika Ukumbi wa Twiga katika Hoteli ya New Safari ambapo Katibu Mkuu Taifa Mh Grace Tendega...
View ArticleKATIBU BAWACHA TAIFA BI GRACE TENDEGA AWAAMBIA WAMAMA WA ARUSHA “IMETOSHA...
Katibu wa BAWACHA Taifa Mh Grace Tendega akihutubia katika Mkutano Mkuu wa BAWACHA Jimbo la Arusha Mjini ambapo alikuwa mgeni rasmi. Mh Tendega amewaambia wanawake wenzake kuwa mwaka huu ni mwaka wa...
View ArticleMOHAMED MORSI AHUKUMIWA KIFO!
Aliyekuwa rais wa Misri na kiongozi wa Kundi la Kiislam Muslim Brothehood.Wafuasi wa Morsi.Maandamano ya kupinga utawala wa Morsi nchini Misri.Kundi la Muslim Brotherhood.Machafuko yaliyotokea nchini...
View ArticleRais Kikwete akagua ujenzi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCM kulia ni makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula.Rais Dkt.Jakaya...
View Article