Quantcast
Channel: PolitiksiFactTrack ''ARUSHA255''
Browsing all 1899 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ajali Mbaya Tengeru- Abiria 12 Wafariki hapohapo

Ajali mbaya imetokea jioni ya jana katika eneo la Tengeru,Jijini Arusha ikihusisha gari dogo aina ya Toyota Hiace (pichani juu) linalofanya safari zake kati ya Usa River na Katikati ya mji wa Arusha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGAMANO LA TANO LA KIMATAIFA KUJADILI MATUMIZI YA NISHATI ITOKANAYO NA JOTO...

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Tano la Kimataifa la kujadili matumizi ya Nishati itokanayo na joto ardhi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wahuni wanaodaiwa kukodiwa na CCM wakiongozwa na Paul Makonda wavuruga...

Katika kile kinachoonekana kuwapo kwa hila ama jambo lisilo sawa katika Katiba inayopendekezwa, Jaji Mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Katiba amejikuta katika wakati mgumu na kudhalilishwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA TAIFA LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI LACHOCHEA UBORA WA...

KAMPUNI ya Furniture Centre (FCDL), na Shirikisho la Watengenezaji Samani Nchini (TAWOFE), wamesaini makubaliano (MoU) kuongeza ubora wa bidhaa za samani zinazotengenezwa nchini na kuzifanya zipate...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEUSI WAACHA HISTORIA ARUSHA KWENYE SHOW YAO YA FUNGA MWAKA

Wakiandaa wao wenyewe, Weusi walifanikisha kuvutia nyomi la kutosha kwenye uwanja wa Triple A jijini Arusha. “Mungu ametuonesha kwamba tunaweza kufanya makubwa zaidi ya vile tunavyofikiria,” Joh Makini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO ZAIDI - MDAHALO WA KUJADILI KATIBA ULIOVUNJIKA NA JAJI WARIOBA...

Jaji Joseph Warioba akitoa mada.Mtoa mada katika mdahalo wa kujadili Katiba inayopendekezwa, Jaji Joseph Warioba akitoa mada kabla ya mkutano huo kuvunjika katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BBC : Ndege ya Rais wa China yahusishwa na wizi wa meno ya tembo Tanzania;...

Inadaiwa kuwa wanunuzi, raia wa Uchina walinunua maelfu ya kilo za pembe za ndovu nchini Tanzania na kuzitorosha kutoka nchini humo katika ndege ya kibinafsi ya raia wa Uchina Xi Jinping,wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU, MABALOZI,WAKUU WA MIKOA NA MAKATIBU...

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIMUAPISHA MHE SAMWEL WILLIAM SHELLUKINDO KUWA BALOZI NA MSAIDI WA RAIS MASUALA YA DIPLOMASIA LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAMRais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe John...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JAKAYA KIKWETE AELEKEA MAREKANI

Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe said Meck Sadik na Meneja wa Huduma za Shirika la ndege la Emirates katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Julius...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ikulu yaguswa kwenye ujangili Ndege ya Rais wa China yadaiwa kutumika kubeba...

Rais wa China Xi Jinping na Rais Kikwete wa Tanzania wakati alipozuru nchini (Picha ya Maktaba)****  MIEZI tisa tangu mwandishi wa Uingereza, Martin Fletcher wa gazeti la The Mail on Sunday, kuchapisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2014

Chagua mkoa hapa chini kisha ubonyeze kucheki shule yako   AU    BONYEZA HAPA>>ARUSHADAR ES...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taswira: Freeman Mbowe akiwahutubia mamia ya wananchi wa Mji wa Urambo; Adai...

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), FreemanMbowe akiwahutubia mamia ya wananchi wa mji wa Urambo, katika mkutanowa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete afanyiwa upasuaji tezidume

 RAIS Jakaya Kikwete, alfajiri ya juzi alifanyiwa upasuaji wa tezidume (prostrate), katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Baltimore, Jimbo la Maryland, Marekani.Taarifa iliyotolewa na Ikulu kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFUGAJI WAVAMIA ENEO LA MWEKEZAJI MZUNGU WILAYANI SIHA NA KUCHOMA NYUMBA,...

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama pamoja na kamati ya ulinzi na usalama wakitizama uharibifu  uliofanywa na wafugaji jamii ya Masai.Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Siha ,Rashid...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP MANGU AONGEZA ASKARI KITETO

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,IGP Ernest Mangu akimsikiliza Diwani wa Kata ya Matui Wilayani Kiteto Bw.Athuman Kidawa wakati alipofanya ziara wilayani humo kufuatia kuwepo kwa migogoro ya ardhi baina...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA: NAMNA MWENYEKITI WA CHADEMA ALIVYOFUNIKA KATIKA MIKOA YA KIGOMA NA...

 Akinamama wa kijiji cha Igalula mkoani Kigoma, wakicheza ngoma ya asili, wakati wa mapokezi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (kushoto), baada ya kuwasili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taswira: Mbunge wa Arusha Mjini alipozuru lilipokuwa Maasai Market ya Jijini...

Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijajulikana umetekekeza kabisa soko la bidhaa za utamaduni maarufu kama “Maasai Market” lililoko mkabala na ofisi za CCM Wilaya ya Arusha Mjini. Moto huo uioanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH.LOWASSA ALIPOZINDUA HELKOPTA YA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA

Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono waumini Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Josephat Gwajima,Kawe jijini Dar es Salaam leo.Picha zote na Othman...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YAKAGUA MADARAJA LUHEKEI MKOANI RUVUMA

Timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ikijionea maendeleo ya moja ya madaraja matatu ya Luhekei yanayounganisha wilaya za Mbinga na Nyasa mkoani Ruvuma.Meneja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA: IVORY COAST YAFUZU, VURUGU UWANJANI … POLISI WATEMBEZA KICHAPO...

Kufuzu kwa Ivory Coast kucheza fainali za Africa mwakani kumegubikwa na tukio la mashabiki wa nchini humo kuvamia uwanja kwa furaha baada ya kumalizika mchezo huo dhidi ya Cameroon uliomalizika kwa...

View Article
Browsing all 1899 articles
Browse latest View live