Ajali Mbaya imetokea Tengeru, watu wawili wapoteza maisha na 12 kujeruhiwa...
Watu wawili wanasemekana kupoteza maisha kwenye ajali ya bus la Hood lililokuwa linaelekea Mbeya na Hiace iliyokuwa inatoka Usa River kuelekea Arusha mjini, mapema leo asubuhi. Watu hao wawili...
View ArticleMBUNGE NASSARI ASHIRIKI MDAHALO ULIOANDALIWA MAKAO MAKUU YA BENKI YA DUNIA
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassari (wa pili toka shoto) akiwa ni miongoni mwa wawasishaji wa mada katika mdahalo maalumu uliofanyika Makao Makuu ya Benki ya Dunia.Mbunge wa Jimbo la...
View ArticleUKAGUZI WA VITENGO VYA MAWASILIANO SERIKALINI: MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI...
Katika kutekeleza mkakati wa kutembelea na kukagua utendaji kazi wa vitengo vya mawasiliano serikalini, Mkurugenzi wa Idara ya Habari, Bw. Assah Mwambene leo ametembelea Kitengo cha Mawasiliano...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA WANAJUMUIYA YA WATANZANIA WA DMV KATIKA MKUTANO WA...
Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DCViongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati...
View ArticleFunga kazi: Warioba, Kabudi, Butiku wawasha upya moto wa Katiba
Mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Profesa Palamagamba Kabudi (kulia) akizungumza kwenye mdahalo wa Katiba, uliofanyika Dar es Salaam jana. Picha na Edwin Mjwahuzi Na Fidelis Butahe na...
View ArticleMansour Kusota Rumande!
Aliyekuwa Mwakilishhi wa jimbo la Kiembe samaki kupitia tikate ya CCM ambae pia amewahi kuwa Waziri wa zamani wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Mansour Yussuf Himid amepandishwa katika mahkama ya...
View ArticleBen Saanane - Nalaani vikali kauli ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba...
Mbali na Kulaani vikali kauli ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba Ndugu Samweli Sitta na Pia agizo la Mkuu wa Mkoa Wa Dodoma Bi.Rehema Nchimbi natoa rai kwa watanzania tujiandae kuchukua hatua...
View ArticleHALMASHAURI YA WILAYA YA ARUSHA YAJIPANGA KUWALETEA WANANCHI MAENDELEO
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Arusha,Samuel Saning’o akizungumza kwenye kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa halmashauri hiyo,kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji ,Fidelis...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SAYANSI KWA NCHI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Chuo cha Nelson Mandela cha jijini Arusha wakati alipowasili kwa ajili ya kufungua...
View ArticleNABAKI AFRIKA MABINGWA VIFAA VYA UJENZI KATIKA MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA...
Meneja wa kampuni ya Nabaki Afrika tawi la Arusha Jesse S. Madauda akiongea na wateja waliotembelea katika banda lao viwanja vya nane nane jijini ArushaHii ni moja ya vifaa vinavyopatikana katika...
View ArticleMKE NA MUME WAKAMATWA WAKISAFIRISHA BANGI JIJINI ARUSHA
Gari aina ya Toyota Corolla lenye namba za usajili T.589 AZS likiwa limebeba magunia ya madawa ya kulevya aina ya bhangi mara baada ya kukamatwa eneo la Sanawari jijini Arusha na askari wa kitengo cha...
View ArticleTASWIRA: MARAIS WA AFRIKA WALIVYOPOKELEWA MAREKANI
President Kikwete and the First Lady Mama Salma Burundi's President and his wife Kagame and his daughter... President Uhuru KenyataAnd... Uganda's President MuseveniFor those who watched the Business...
View ArticleJK: TUNAKWAMISHWA NA UZALISHAJI NA MATUMIZI MADOGO MNO YA UMEME
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Goodluck Jonathan wakati muda mfupi kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika uliofanyika jijini Washington DC chini ya...
View ArticleWaziri atajwa njama za kumuua Dk. Slaa; Yadaiwa helikopta yake ilikuwa...
Picha za jana wakati Sebastian Peter Mzuka na Zacharia Martine Mfuko, walipoweka wazi mkakati mzima wa kulipua chopa iliyowabeba Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Slaa, Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa...
View ArticleEPHATA NANYARO KUWANIA UENYEKITI BAVICHA TAIFA
Ikiwa vuguvugu la chaguzi za Kitaifa kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo likiwa linaanza kupamba moto, hususani kwa Baraza la Vijana (BAVICHA) ambapo fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi...
View ArticleGari yatumbukia mto Naura na kuua
Kijana mmoja aliyetambulishwa kwa jina moja la Jackson mkazi wa Moshono Jijini Arusha ameelezwa kufariki katika jali ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia leo baada ya gari aina ya Toyota Altezza...
View ArticleMbunge Lema, Madiwani Chadema Washiriki Maziko ya Katibu Mwenezi wa Chadema...
Mbunge wa Arusha Mjini ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema Taifa, Mh Godbless Lema akiwa kanisani pamoja na madiwani wa Chadema Arusha Mjini katika misa ya kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu...
View Article