Quantcast
Channel: PolitiksiFactTrack ''ARUSHA255''
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1899

“RASIMU YA SITTA” ILIYOPENDEKEZWA NA BUNGE MAALUM 2014 HII HAPA

$
0
0

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta

 

Mwenyekti wa Kamati ya Uandishi wa Katiba ya Bunge Maalumu la katiba, Mh Andrew Chenge amewasilisha ‘Rasimu ya Tatu” kwa Mwenyekiti wa Bunge hilo Samweli Sitaa, rasimu ambayo imepishana kwa kiwango kikubwa na Rasimu ya Tume ya Katiba.

Mambo ya Muungano katika “Rasimu ya Sitta” ni haya

1. Katiba na Mamlaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

2. Ulinzi na usalama wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

3. Usalama na usafiri wa anga.

4. Uraia na uhamiaji.

5. Jeshi la Polisi.

6. Sarafu na Benki Kuu.

7. Kodi ya Mapato inayolipwa na watu binafsi na Mashirika, ushuru wa forodha na ushuru wa bidhaa zinazotengenezwa nchini Tanzania na zinazosimamiwa na Idara ya Forodha.

8. Mambo ya nje.

9. Usajili wa vyama vya siasa.

10. Mahakama ya Juu na Mahakama ya Rufani.

11. Elimu ya Juu.

12. Baraza la Taifa la Mitihani na mambo yote yanayohusika na kazi za Baraza hilo.

13. Utabiri wa hali ya hewa.

14. Utumishi katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano.

KUISOMA YOTE BONYEZA HAPA PLIOANDIKWA  RASIMU YA TATU

RASIMU KATIBA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI LEO KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Mhe. Andrew Chenge (kushoto) akiwasili bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, leo 24 Septemba, 2014. Kulia ni mjumbe wa Bunge hilo, Dkt. Tulia Ackson.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1899

Trending Articles