Mechi ya FA Cup iliyopigwa jioni ya April 12 2014 katika uwanja wa Wembley imewapa nafasi Arsenal kufika fainali baada ya kutoka droo kwenye goli walilosawazisha kwenye kipindi cha pili na kufanya matokeo kuwa 1-1.
↧
Arsenal Yatinga Fainali ya FA baada ya kuitoa Wigan kwa mikwaju ya penali kufuatia droo ya 1-1
↧