Quantcast
Channel: PolitiksiFactTrack ''ARUSHA255''
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1899

News Updates: SHULE YA SEKONDARI ILBORU ARUSHA YAFUNGWA KWA MUDA USIOJULIKANA

$
0
0

Pichani ni baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Ilboru iliyoko Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha wakiwa wamebeba mizigo yao wakitafuta namna ya kurudi nyumbani baada ya kuamriwa kuondoka mara moja shuleni hapo chini ya usimamizi wa jeshi la Polisi baada ya shule kufungwa kwa muda usiojulikana kwa kile kinachodaiwa ni tishio la kuchomwa moto shule hiyo.

Baadhi ya wanafunzi wamedai kuwa baada ya kuonekana eneo mojawapo limemwaga  petroli, hatua iliyozua hofu huku walimu wakiwashutumu wanafunzi kutaka kufanya kitendo hicho na wanafunzi wakidai huenda ni walimu wao.

Stori na Picha: Jamii Blog


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1899

Trending Articles