Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njome Mhe. Lucia Mlowe akikabidhi hati ya kiwanja na ramani ya jengo la ofisi ya Chama cha Dempkrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Njombe kwa Katibu Mkuu wa chamahicho Dr. Vincent Mashinji.
Makamu Mwenyekiti Zanzibar (mwenye koti jeusi) akiwa ameongozana na wabunge Mhe Paschal Haonga na Mhe Cecilia Paresso, wakifungua Ofisi ya Kata ya Mkwajuni, jimbo la Songwe, na kuongea na wanachama wa Jimbo hilo, katika muendelezo wa ziara ya viongozi wa CHADEMA Taifa na wabunge inayoendelea katika Kanda ya Nyasa.