Quantcast
Channel: PolitiksiFactTrack ''ARUSHA255''
Viewing all articles
Browse latest Browse all 1899

Profesa Jay Ajiunga Rasmi na Chadema Mjini Dodoma!

$
0
0

Taarifa za mchana huu kupitia Mtandao wa JamiiForums zimethibitisha kuwa Msanii maarufu wa bongo flava Joseph Haule aka Proffesa Jay, leo hii amejiunga na chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na kukabidhiwa kadi yake ya uanachama mjini Dodoma.

Katika hafla ya makabidhiano, Profesa Jay alikuwa na Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi na Mbunge wa Ubunge John Mnyika, wote kutoka Chadema.

Prof Jay Ajiunga Na ChademaProfesa Jay akikabidhiwa kadi na Sugu huku Ezekia Wenje, Mbunge wa Nyamagana akishuhudia

Prof Jay Na Sugu Na MnyikaProf Jay akionesha kadi yake.. kushoto kwake ni Mnyika na kulia ni Sugu.

prof jayPICHA ZOTE NA MITANDAO YA KIJAMII IKIWEMO JAMII FORUMS


Viewing all articles
Browse latest Browse all 1899

Trending Articles